Lugha, Fasihi na Elimu
KITOVU CHA LUGHA – Neno ‘Mbanjo’
MAANA: Mavazi au zawadi ya kwanza ya kumpa mchumba.
Mfano katika sentensi
Katika mahusiano ya uchumba, wapenzi wengi hutoa mbanjo ili kuwashinikiza wachumba wao kuyakubali matakwa yao.
Nuhu Bakari ni Mwanaleksikografia, Mwandishi, Mtafsiri na Mtangazaji