Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Mke hataki kunikaribia wala mimi nimguse
SWALI: Mke wangu hataki tena kunikaribia kimapenzi. Hata hataki nimguze tukiwa kitandani. Sielewi kulikoni.
Jibu: Tatizo sio ngono pekee, angalia hisia, heshima na mawasiliano. Zungumzeni bila lawama. Huba huanza akilini kabla ya chumbani.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO