Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Mpenzi ni mrembo ila ni mchafu kupindukia
Nyumba iliyojaa uchafu. Picha|Maktaba
SWALI: Vipi Shangazi. Mpenzi wangu ni mrembo lakini uchafu umemzidi. Ananuka jacho na haoshi vizuri sehemu zake za siri. Mimi nimechoka. Naomba ushauri.
Jibu: Ni wewe utakayeumia ukiendelea kuvumilia hali yake hiyo. Mwambie ukweli ili abadilike ikiwa unampenda kwa dhati.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO