Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Nilikopa pesa kununua vifaa ili nimuoe, lakini sasa amenikataa

Na SHANGAZI November 21st, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Shikamoo Shangazi. Nilichukua mkopo ninunue vifaa vya nyumba kabla tuoane lakini mchumba wangu sasa anasema hataki tena mambo ya ndoa. Nimfanyie nini?

Jibu: Usiulize cha kumfanyia. Wewe anza kulipa mkopo, songa mbele na usirudie kosa kama hilo tena.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO