Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Nimechoka kulea watoto peke yangu bila usaidizi wa baba yao, nishauri
Watoto wakifurahia. PICHA|PEXELS
SWALI: Nalea watoto peke yangu na nimechoka. Sipati uzaidizi wowote kutoka kwa mume wangu. Nimechoka!
Jibu: Pole kwa mazito unayopitia. Kuchoka kutoa msaada bila usaidizi wa mwenzako ni halali. Ni haki kugawa majukumu ya uzazi na mume wako. Uaitelekeze mtoto. Tafuta msaada kwa afisi ya watoto ili usaidiwe kujukumisha mwenzako mzigo wa malezi.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO