• Nairobi
  • Last Updated April 12th, 2024 5:55 PM

BI TAIFA AGOSTI 26, 2020

Rahab Ngari 24, ni mwanafunzi wa uanahabari katika Chuo Kikuu Cha Mount Kenya Nakuru. Uraibu wake ni kutazama filamu na kucheza voliboli....

BI TAIFA AGOSTI 25, 2020

Alice Kinogu 26, ni mzaliwa wa Kaunti ya Lamu, yeye ni tabibu kutoka jiji la Nairobi. Anapenda kupiga picha na kusoma mashairi....

BI TAIFA AGOSTI 24, 2020

Carol Jordan 27, amebobea katika sekta ya utalii na mikahawa. Yeye ni mkazi wa kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kujumuika na marafiki na...

BI TAIFA AGOSTI 23, 2020

Gladys Muthoni ni mwanafunzi wa uanahabari kutoka Chuo Kikuu Cha Chuka, amefikisha miaka 25. Uraibu wake ni kuogelea na kusakata densi....

BI TAIFA AGOSTI 22, 2020

Faith Kwamboka mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia ukurasa wetu leo, yeye ni mzawa wa eneo la Freearea Kaunti ya Nakuru. Anapenda...

BI TAIFA AGOSTI 21, 2020

Joyce Spencer Gakuru amefikisha miaka 23, yeye ni mzaliwa wa Ol-Kalou kaunti ya Nyandarua.Mara nyingi anapenda kushiriki katika majukwaa...

BI TAIFA AGOSTI 20, 2020

Dee Tanui amegonga miaka 23, ni mzaliwa wa eneo la Mogotio kaunti ya Baringo. Uraibu wake ni kusakata densi ya Salsa katika kumbi...

BI TAIFA AGOSTI 19, 2020

Esther Wanjiri ni mwanafunzi wa uanahabari katika Chuo kimoja mjini Nakuru. Kwa sasa amefikisha miaka 23. Uraibu wake ni kusikiliza muziki...

BI TAIFA AGOSTI 18, 2020

Monica Wanjiru 24 ,ni mkaazi wa Molo, na mwanafunzi katika taasisi ya KMTC. Uraibu wake ni kusafiri na kuogelea. Picha/Richard Maosi

BI TAIFA AGOSTI 17, 2020

Alya Khalid 20 ni mzaliwa wa kaunti ya Kisii, yeye ni mchoraji shupavu wa vibonzo. Uraibu wake ni kusoma na kujumuika na marafiki....

BI TAIFA AGOSTI 16, 2020

Sheila Kavai 21, ni mwanafunzi wa mitindo na fasheni kutoka Meru Polytechinic. Uraibu wake ni kusakata densi na kusikiliza muziki wa Bongo...

BI TAIFA AGOSTI 15, 2020

Edith Njoka ni mzaliwa wa kaunti ya Embu. Yeye ni mfanyibiashara kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kutazama filamu na kusoma...