Na DOMINIC MAGARA KISAUNI, MOMBASA KALAMENI anajuta kuiba simu ya mkono sokoni ilipoanza kuita jina lake alipoifungua. Kioja...
Na TOBBIE WEKESA BUNYALA, BUSIA MAMA mboga wa eneo la hapa aliwaacha wengi vinywa wazi alipompa polo binti yake kama...
Na CHARLES ONGADI MAJAONI, MOMBASA BODABODA mmoja wa hapa alifurushwa kutoka kanisani kwa kutafuna muguka mahubiri...
Na NICHOLAS CHERUIYOT MOGOIYWET, Narok GHULAMU mtukutu kutoka eneo hili aliwagonganisha wazazi wake kwa kutoroka kutoka shule ya...
Na LEAH MAKENA KEROKA, Kisii MAMA wa hapa alishangaza wengi alipokataa kupeana zawadi kwa maharusi na kurejea nayo nyumbani kwake kwa...
YALA, Siaya Na JOHN MUTUKU SAMUEL KALAMENI eneo hili alibubujikwa na machozi na kujitupa miguuni mwa demu kumuomba asimteme lakini...
Na MWANDISHI WETU Kangemi, Nairobi Jombi mtaani hapa ambaye ni seremala tajika aliamua kukarabati kitanda cha jirani yake bila...
Na JOHN MUSYOKI MATUU, MACHAKOS KIOJA kilishuhudiwa katika ploti moja mtaani hapa, jamaa alipopiga nduru baada ya mama aliyetarajia...
Na MWANDISHI WETU KIEMBENI, MOMBASA KALAMENI wa hapa alijipata kwenye njia panda baada ya mkewe aliyemuoa takribani miaka mitano...
Na JOHN MUTUKU SAMUEL DEMU aliyesifika mtaani hapa kwa ujanja wake wa kuwatapeli wanaume maelfu ya pesa baada ya kula uroda nao,...
Na TOBBIE WEKESA UGWERI, RUNYENJES WAUMINI wa kanisa moja lililoko hapa walitishia kumtimua pasta wao wakidai alikuwa...
Na MWANDISHI WETU KAGIO, KIRINYAGA BUDA eneo hili alilazimika kulipa mwanamume mwenzake nusu milioni jamaa zake wakishuhudia baada ya...