• Nairobi
  • Last Updated December 9th, 2023 7:54 PM

Demu alia kukosa ‘nyota’ ya kupata dume la kumpa burudani chumbani

Na JANET KAVUNGA MOMBASA MJINI KIPUSA mmoja mjini hapa aliwalilia wenzake wamsaidie akisema wanaume wamekuwa wakimtoroka punde tu...

Kizaazaa benten akitaka kula kuku na vifaranga wake

NA JANET KAVUNGA MALINDI MJINI MUMAMA mmoja mjini hapa alimtimua benten aliyekuwa amemweka kinyumba, barobaro huyo alipoanza...

Polo wa kila mara ‘nionje kidogo’ abugia mkojo akidhani ni pombe 

NA MWANGI MUIRURI MURANG'A MJINI POLO mmoja mwingi wa tamaa ya pombe alibugia mkojo nusu glasi baada ya kupangiwa njama ya adhabu...

Dereva wa teksi aliyekula Sh40,000 za karao ajutia kitendo chake akiwa nyuma ya nondo

NA MWANGI MUIRURI MURANG'A POLO dereva wa teksi aliyekula Sh40,000 za karao wa Murang'a sasa anajutia kitendo chake akiwa kwenye...

Polo ahepa demu aliyetaka ‘mpini’ siku ya kwanza

NA JANET KAVUNGA CHANGAMWE, MOMBASA JAMAA wa hapa alimtema demu wake kwa kumtaka aonje tunda siku ya kwanza ya date...

Kisanga polo akilaumu kahaba kwa kumzima nguvu za kiume kiuganga kwenye lojing’i

NA MWANGI MUIRURI  THIKA KIZAAZAA kilizuka katika lojing’i ya mji huu polo alipotaka kurejeshewa Sh150, alizokuwa amelipa kahaba...

Polo alia kama senge lojing’i Murang’a baada ya kumeza kukumanga kusisimua mahaba

NA MWANGI MUIRURI  MWANAMUME aliyekuwa amemeza kukumanga katika mji wa Murang'a alishangaza wateja wenzake katika lojing'I, alipoanza...

Kizaazaa demu akimpokonya polisi bunduki ndani ya lojing’i

NA MWANGI MUIRURI KARATINA, NYERI KULIZUKA kizaazaa katika lojing'i moja ya mji huu afisa wa polisi alipopokonywa bunduki yake na...

Polisi atapika baada ya kunusa vidole vya mshukiwa wa bangi

NA MWANGI MUIRURI MARAGUA, MURANG'A AFISA wa polisi alitapika aliponusa vidole vya kijana wa umri wa miaka 23 kutoka Kaunti ya...

Paka mweusi amzuia jamaa aliyejaribu kuondoka dukani bila kulipia bidhaa

NA JANET KAVUNGA MALINDI MJINI KULITOKEA kioja katika duka moja mjini hapa jombi aliyetaka kuhepa bila kulipia bidhaa alipozuiwa...

Mwanamume akimbilia pasta baada ya mganga kumpa likizo ya tendo la ndoa

NA JANET KAVUNGA UKUNDA, DIANI BUDA mmoja alikita kambi katika ploti moja mtaani hapa akimtafuta pasta amuombee baada ya kulemewa na...

Demu adondokwa mate ex wake akivisha pete kipusa aliyedharau

NA JANET KAVUNGA MALINDI MJINI MWANADADA wa hapa alidondokwa mate akishuhudia mpenzi wake wa zamani akifunga harusi na demu ambaye...