• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 12:38 PM

EACC yammulika gavana wa Lamu

Na LEONARD ONYANGO TUME ya Maadili na Kukabiliana na Ufisadi (EACC) imependekeza kushtakiwa kwa Gavana Fahim Twaha wa Lamu, kwa kukiuka...

Corona yafagia asilimia 35 ya biashara ndogo

Na PETER MBURU MAKALI ya janga la Covid-19 yalilemaza pakubwa uchumi wa biashara ndogondogo nchini, ambapo asilimia 35 ya biashara zote...

Ajipata kizimbani kwa madai ya kuiba nakala mbili za Biblia

Na RICHARD MUNGUTI KIBARUA aliyeiba nakala mbili za Biblia kutoka dukakuu asome aimarishe maisha yake ya kiroho, Jumatano alifikishwa...

EACC yaahidi kuchuja vikali wawaniaji 2022

Na ANTHONY KITIMO WANASIASA wanaolenga viti mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao lazima watapitia ukaguzi wa kina kulingana na hitaji la...

KPA imeajiri Wapwani kupita kiasi, yadai ripoti

Na MWANDISHI WETU MAMLAKA ya Bandari za Kenya (KPA) huenda ikalazimika kutengea jamii zenye asili ya nje ya Pwani nafasi zaidi za ajira...

Obure ahusisha Mudavadi na kashfa ya Anglo-Leasing

Na RICHARD MUNGUTI KINARA wa Chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi aliidhinisha mradi wa Anglo-Leasing uliosababisha...

Jaji akataa malalamiko kuhusu lugha

Na BRIAN OCHARO KESI dhidi ya raia wa kigeni ambao walishtakiwa kwa madai ya ulanguzi wa dawa ya kulevya, aina ya heroini ya thamani ya...

Wageni Pwani waonywa kuwa makini baharini

Na KNA WAGENI ambao wananuia kuzuru maeneo ya Pwani wakati wa shamrashamra za kufunga mwaka, wameshauriwa kuwa waangalifu hasa...

Viongozi wa kanisa warudishia mbunge pesa alizochangisha

Na WYCLIFFE NYABERI KANISA Katoliki, Dayosisi ya Kisii, limemrudishia Mbunge wa Dagoretti Kaskazini Simba Arati mchango wake wa Sh...

Siku ya Ukimwi Duniani: Vijana washauriwa wawe mstari wa mbele kuelimisha jamii kuhusu Ukimwi

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA wameshauriwa kujiepusha na vitendo vya ngono kiholela ili waepuke Ukimwi na magonjwa mengine ya...

Mwanamke ashukiwa kuwa gaidi

Na MARY WANGARI WAPELELEZI kutoka Idara ya Uchunguzi wa Jinai (DCI) mnamo Jumatano, Disemba 1, walimkamata na kumtia kizuizini mwanamke...

KRA kupiga mnada mizigo iliyoachwa

Na ANTHONY KITIMO MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru ya Kenya (KRA) imepanga kupiga mnada mizigo ambayo imechelewa kuchukuliwa katika Bandari...