• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 6:00 PM

Kinoti akwepa hukumu

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Uchunguzi wa Jinai (DCI) George Kinoti Jumatatu alikwepa kufika kortini kuhukumiwa kwa kukaidi agizo la ...

Mawaziri wakuu wa zamani Algeria waongezewa hukumu

Na AFP ALGIERS, Algeria Tafsiri: CHARLES WASONGA MAWAZIRI Wakuu wawili waliohudumu chini ya utawala wa rais wa zamani wa nchi hiyo...

Morogo akana kituo cha polisi cha Syokimau kilikuwa na seli

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi wa Utawala Koplo Stephen Morogo anayeshtakiwa kwa mauaji ya wakili Willie Kimani Jumatatu alikana...

Nyuki wavamia na kumuua mzee aliyehudhuria mazishi ya mjukuu

Na LAWRENCE ONGARO RUNDO la nyuki lilivuruga mazishi katika kijiji cha Makwa kilichoko Gatundu Kaskazini ambapo mzee mmoja alifariki na...

Mbinu wanazotumia walaghai kuingiza bidhaa kutoka Somalia

Na BRIAN OCHARO WAFANYABIASHARA walaghai wamegundua mbinu mpya ya kuingiza bidhaa humu nchini kutoka Somalia kupitia Bahari...

CBC: Sossion awasilisha malalamiko ya wazazi bungeni

Na FAITH NYAMAI BAADHI ya wazazi wamewasilisha ombi katika Bunge la Kitaifa wakitaka kusitishwa kwa utekelezaji wa Mtaala wa Umilisi na...

Wanafunzi kadhaa Juja washindwa kujiunga na Kidato cha Kwanza kwa kukosa karo

Na LAWRENCE ONGARO WAZAZI wengi katika vijiji vya Maraba, Nyachaba na Ndarugu, eneo la Juja, wanataka Wizara ya Elimu kuingilia kati...

NHIF yapunguza pesa za dialisisi, CT-Scan

JOHN MUTUA na GERALD ANDAE WAKENYA wanaotegemea Bima ya Kitaifa ya Afya (NHIF) kuwalipia bili za hospitali, sasa watagharimika...

Wazee wa Nyumba 10 wadai mshahara

Na KENYA NEWS AGENCY WAZEE 5,000 wa Nyumba Kumi katika Kaunti ya Kitui sasa wanataka serikali iwape mshahara kwa “kazi ngumu”...

Sherehe za Mashujaa marufuku kaunti 46

Na GEORGE MUNENE SERIKALI imepiga marufuku sherehe za Mashujaa katika kaunti zote 46 katika juhudi za kuzuia maambukizi ya virusi vya...

Korti yaamua Obure ana kesi ya kujibu sakata ya Sh1.3b

Na RICHARD MUNGUTI WAZIRI Msaidizi wa Uchukuzi Chris Obure ana kesi ya kujibu kuhusiana na sakata ya Sh1.3 bilioni ya Anglo-Leasing...

Walimu Nairobi kula marupurupu ya juu ya nyumba

Na FAITH NYAMAI WALIMU wanaofundisha katika shule zinazopatikana jijini Nairobi sasa wana kila sababu ya kutabasamu, baada ya Tume ya...