• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

Mlalamishi aokolewa kukwepa genge linalohusishwa na washtakiwa wa wizi wa mabavu

NA SAMMY KIMATU MLALAMISHI katika kesi ya wizi wa mabavu aliokolewa na kituo cha Mukuru Promotion Centre (MPC) baada ya kuvamiwa na...

Weledi wa demu wangu chumbani umenitia wasiwasi

SHANGAZI; Kuna jambo limefanya nianze kumshuku mwanamke mpenzi wangu. Ustadi wake chumbani hauna mwingine. Kila tukikutana anakuja na...

Nyaribo kusalia gavana baada ya kura ya kumng’atua kuanguka

NA WYCLIFFE NYABERI  Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo ameponea hoja iliyolenga kumng'atua afisini. Hii ni baada ya hoja hiyo...

Pasta Ng’ang’a afokea serikali kuhusu ushuru wa juu

Na FRIDAH OKACHI Mhubiri James Maina Ng’ang’a maarufu Pasta Ng’ang’a wa kanisa la Neno Evangelism Centre, amekashifu serikali...

Bloga ashtakiwa kwa kuchapisha habari za uongo kuhusu Naibu Rais Rigathi Gachagua

NA RICHARD MUNGUTI BLOGA Silvance Adongo Abeta ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kumhusu Naibu Rais Rigathi Gachagua.

Mahakama yaelezwa jinsi wasichana wadogo walivyonajisiwa kisha wakauawa

NA TITUS OMINDE MAHAKAMA Kuu ya Eldoret mnamo Jumanne iliambiwa Juma Wanjala Evans aliyekiri kutekeleza mauaji, alimnajisi na kumnyonga...

Madereva wa masafa marefu wahamasishana, waombea nafsi za wenzao walioangamia ajalini

NA FRIDAH OKACHI CHAMA cha madereva wa masafa marefu nchini, kimefanya maombi maalum eneo la Maili Tisa mjini Eldoret, Kaunti ya Uasin...

Walimu wataka Kilifi iorodheshwe kuwa mazingira magumu ya kufanyia kazi wapokee marupurupu ya maana

NA MARY WANGARI WALIMU zaidi ya 2,000 wamewasilisha malalamishi kwa Seneti wakitaka Kaunti ya Kilifi kuorodheshwa kama eneo kame na...

Raia wa Rwanda na Mkenya wafika kortini kung’ang’ania Sh400 milioni

NA RICHARD MUNGUTI RAIA wa Rwanda na Mkenya wanang'ang’ania Sh400 milioni zilizotokana na biashara ya kuuza bidhaa katika...

Gavana, Naibu wake bado hawapikiki chungu kimoja Mashujaa Dei ikikaribia

NA VITALIS KIMUTAI Gavana wa Kericho Erick Mutai na Naibu wake Fred Kirui bado hawajazika tofauti zao mwaka mmoja baada ya kuingia...

Ndoa baina ya makanisa na Rais Ruto yaanza kuisha ladha

WANDERI KAMAU NA VITALIS KIMUTAI UHUSIANO uliokuwepo baina ya viongozi wa kidini nchini na vigogo wakuu wa muungano wa Kenya Kwanza kabla...

Hatima ya watoto 50,000 yaning’inia Serikali ikipanga kufunga makao yanayosimamiwa na watu binafsi

NA MARY WANGARI SERIKALI imetangaza mipango ya kufunga taasisi zote za kibinafsi za malezi ya watoto na mayatima katika juhudi za...