• Nairobi
  • Last Updated April 30th, 2024 7:55 PM

Maji: Pwani kuzidi kuteseka serikali ikisitisha mradi

NA LUCY MKANYIKA WAKAZI wa ukanda wa Pwani watalazimika kuendelea kuvumilia uhaba wa maji eneo hilo, baada ya serikali kusitisha mpango wa...

Dkt Monda ajitetea vikali kuchunga unga

NA WYCLIFFE NYABERI NAIBU Gavana wa Kaunti ya Kisii Dkt Robert Monda ametoa majibu kwa kila mojawapo ya shutuma tatu ambazo madiwani...

Madiwani Kisii wamkaidi Arati, waendelea na hoja ya kumng’atua Dkt Monda

NA WYCLIFFE NYABERI MADIWANI (MCAs) wanaotaka kumng'atua mamlakani Naibu Gavana wa Kisii Robert Monda wamekaidi rai ya gavana Simba Arati...

Wakeketaji waficha uovu wao kwa muziki wa juu

NA KALUME KAZUNGU HUKU Kenya na ulimwengu ukiendeleza kampeni dhidi ya ukeketaji, tatizo hilo bado linaendelea kukithiri na kukita...

Wanaume watazama taarifa mjini wanawake wakienjoi ‘Soap Opera’ majumbani

NA KALUME KAZUNGU KILA jioni utapata wanaume wakikongamana katika eneo la umma la Mkunguni kutazama taarifa za habari kupitia skrini...

Polisi amuua askari jela katika duka la pombe ya makali

NA EVANS JAOLA HALI ya wasiwasi ilizuka mjini Kitale, Jumanne jioni, baada ya polisi wa utawala wa kiwango cha konstebo kumpiga risasi...

Pokot Magharibi yamwaga kitita cha Sh600m kupiga jeki elimu

NA OSCAR KAKAI ZAIDI ya wanafunzi 44,000 wamenufaika na fedha za ufadhili wa elimu kwa hisani ya serikali ya Kaunti ya Pokot...

Boma la mpinzani wa Gavana Ken Lusaka lavamiwa

NA JESSE CHENGE POLISI katika Kaunti ya Bungoma wanachunguza kisa ambapo kundi la majambazi wasiojulikana walivamia boma la mwanasiasa...

Waziri Mvurya ahimiza Wanakwale kuchangamkia elimu kufukuza umaskini

NA KNA WAZIRI wa Madini, Uchumi wa Baharini na Ubaharia, Bw Salim Mvurya, amewataka wakazi wa Kwale kuichangamkia elimu na kuitambua...

Popo wafukuza wanajamii kutumia ukumbi wa Mkunumbi

NA KALUME KAZUNGU UKUMBI wa kijamii wa Mkunumbi ulioko Lamu Magharibi ulipojengwa mwaka 2013, furaha ilisheheni miongoni mwa wakazi ambao...

Sakaja aagiza pombe ya makali kuondolewa kwa steji za matatu

NA HILLARY KIMUYU GAVANA wa Nairobi Johnson Sakaja amemwagiza Afisa Mkuu wa Usalama katika Kaunti Tony Kimani, kuhakikisha kwamba maduka...

Mradi wa choo na Wi-Fi wapingwa Mukuru-Fuata Nyayo

NA SAMMY KIMATU MRADI wa serikali unaonuiwa kupiga jeki vijana kimapato na kufaidi zaidi ya watu 20,000 katika mtaa wa mabanda wa...