• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 12:26 PM

Kamati yapendekeza Mkongo aondolewe kwa uwaziri Taita Taveta

NA LUCY MKANYIKA KAMATI ya bunge la kaunti iliyopewa jukumu la kuchunguza sababu za kumwondoa madarakani waziri wa Ardhi Bi Elizabeth...

Mwanamume awindwa kwa kudaiwa kuua watoto wake watatu na mjakazi

NA VITALIS KIMUTAI POLISI Kaunti ya Bomet wanamsaka mwanamume mmoja ambaye inadaiwa aliwaua watoto wake watatu na mfanyakazi. Mwanamume...

Walio ‘sober’ wakatazwa kupigania rasilimali chache za kuwafaa waraibu

NA KALUME KAZUNGU UMARIDADI wa kituo cha kuwatibu waraibu wa dawa za kulevya, walevi wa pombe na uraibu mwingine katika Kaunti ya Lamu,...

Wakulima wa ndizi Taita Taveta watafutiwa soko kimataifa

Na WINNIE ATIENO ZAIDI ya wakulima 500 wadogo wa ndizi wamepata afueni baada ya serikali ya kaunti ya Taita Taveta kuwatafutia soko la...

Maji: Pwani kuzidi kuteseka serikali ikisitisha mradi

NA LUCY MKANYIKA WAKAZI wa ukanda wa Pwani watalazimika kuendelea kuvumilia uhaba wa maji eneo hilo, baada ya serikali kusitisha mpango wa...

Dkt Monda ajitetea vikali kuchunga unga

NA WYCLIFFE NYABERI NAIBU Gavana wa Kaunti ya Kisii Dkt Robert Monda ametoa majibu kwa kila mojawapo ya shutuma tatu ambazo madiwani...

Madiwani Kisii wamkaidi Arati, waendelea na hoja ya kumng’atua Dkt Monda

NA WYCLIFFE NYABERI MADIWANI (MCAs) wanaotaka kumng'atua mamlakani Naibu Gavana wa Kisii Robert Monda wamekaidi rai ya gavana Simba Arati...

Wakeketaji waficha uovu wao kwa muziki wa juu

NA KALUME KAZUNGU HUKU Kenya na ulimwengu ukiendeleza kampeni dhidi ya ukeketaji, tatizo hilo bado linaendelea kukithiri na kukita...

Wanaume watazama taarifa mjini wanawake wakienjoi ‘Soap Opera’ majumbani

NA KALUME KAZUNGU KILA jioni utapata wanaume wakikongamana katika eneo la umma la Mkunguni kutazama taarifa za habari kupitia skrini...

Polisi amuua askari jela katika duka la pombe ya makali

NA EVANS JAOLA HALI ya wasiwasi ilizuka mjini Kitale, Jumanne jioni, baada ya polisi wa utawala wa kiwango cha konstebo kumpiga risasi...

Pokot Magharibi yamwaga kitita cha Sh600m kupiga jeki elimu

NA OSCAR KAKAI ZAIDI ya wanafunzi 44,000 wamenufaika na fedha za ufadhili wa elimu kwa hisani ya serikali ya Kaunti ya Pokot...

Boma la mpinzani wa Gavana Ken Lusaka lavamiwa

NA JESSE CHENGE POLISI katika Kaunti ya Bungoma wanachunguza kisa ambapo kundi la majambazi wasiojulikana walivamia boma la mwanasiasa...