• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Ruto aridhishwa na usambazaji fatalaiza licha ya ‘soko’ kusheheni mbolea feki  

NA WAANDISHI WETU  RAIS William Ruto ameelezea kuridhishwa kwake na shughuli ya usambazaji mbolea ya ruzuku hata baada ya Wizara ya...

Wanawake Kenya wanavyogeuzwa tasa hospitalini bila idhini yao – Utafiti

NA LEON LIDIGU WANAWAKE nchini wanaosaka huduma za matibabu ya uzazi wanafanyiwa ukaguzi wa sehemu za siri, kukatizwa uwezo wa kupata...

Wahasiriwa wa dhuluma za polisi Corona ikitesa wataka fidia

NA RICHARD MUNGUTI JAMAA wa wahanga wa ukatili wa maafisa wa polisi waliouawa katika mazingira ya kutatanisha 2020 wakati wa kutekeleza...

Wabunge waonywa dhidi ya kupitisha mswada unaoharamisha LGBTQ

NA CHARLES WASONGA HUKU Bunge la Kitaifa likirejelea vikao vyake Jumanne, Aprili 9, 2024 baada ya likizo, limeonywa dhidi ya kupitisha...

DJ Mfalme aondolewa lawama ya mauaji ya polisi

NA RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson Igonga amemwondelea kesi ya mauaji ya afisa wa polisi Felix Kintosi...

CIPK yaomba serikali kutopuuzilia mbali mkataba na madaktari

NA TITUS OMINDE BARAZA la Maimam na Wahubiri Nchini (CIPK) limesihi serikali kutopuuza Mkataba mzima wa Makubaliano ya Pamoja (CBA) kati...

Wizara ya Kilimo kutuma wakaguzi kutekeleza kanuni za miraa

NA DAVID MUCHUI WIZARA ya Kilimo itatuma wakaguzi wa usalama wa chakula katika Kaunti ya Meru ili kutekeleza kanuni za miraa eneo...

Mgawanyiko chama cha Ruto, UDA

NA JOSEPH OPENDA DALILI za mapema za mgawanyiko zimejitokeza ndani ya chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA) kaunti ya...

Gavana na mbunge wageukia nguvu za Mungu kuhimiza madaktari warejee kazini

NA TITUS OMINDE GAVANA wa Baringo Benjamin Cheboi na Mbunge wa Ainabkoi, Samuel Chepkonga sasa wanataka nguvu za kiungu kupitia maombi...

Uchunguzi: Masomo bora Kenya sasa ni ya matajiri

NA DAVID MUCHUNGUH WAKENYA wanatumia mabilioni ya fedha kugharamia elimu ya watoto wao katika shule za kibinafsi kutokana na kushuka kwa...

Uhuru apiga vijembe Kenya Kwanza akiifananisha na usaliti wa Judas Iscariot

NA COLLINS OMULO RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta amefufua siasa za usaliti nchini baada ya kushambulia wanasiasa aliowataja kama...

Jaribio la Babu Owino kumng’atua Waziri Nakhumicha ni sawa na kukwea mlima kwa ‘slippers’

NA CHARLES WASONGA HUENDA nia ya Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino ya kumwondoa afisini Waziri wa Afya Susan Nakhumicha ikagonga...