• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 5:55 AM

Watoto 700,000 wakodolea macho utapiamlo nchini Sudan

NA REUTERS GENEVA, USWISI TAKRIBAN watoto 700,000 nchini Sudan wako hatarini kukabiliwa na utapiamlo wa hali ya juu mwaka huu 2024,...

Papa adai wanaopinga mashoga wana unafiki

NA MASHIRIKA VATICAN, VATICAN KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema anaona "unafiki" katika kauli za watu...

Wabunge watatu wa upinzani wakamatwa

NA MASHIRIKA WABUNGE watatu wa upinzani wamekamatwa nchini Senegal, huku kukiwa na mzozo mkali wa kisiasa. Mvutano huo ni kufuatia hatua...

Wamaasai wapigwa marufuku kutembea na visu vya kitamaduni visiwani Zanzibar

NA CHARLES WASONGA SERIKALI ya Zanzibar imepiga marufuku mtindo wa watu wa jamii ya Maasai kutembea hadharini wakiwa wamebeba silaha za...

Watu 26 wauawa kwenye mapigano mapya Sudan Kusini

NA REUTERS JUBA, SUDAN KUSINI MAPIGANO yanayoendelea baina ya makundi tofauti magharibi mwa Sudan Kusini yamesababisha vifo vya...

Mfalme Charles aahirisha shughuli rasmi baada ya kugunduliwa anaugua saratani

NA WANDERI KAMAU MFALME Charles III wa Uingereza amethibitishwa kuugua saratani,  yalisema makao ya kifalme ya Buckingham, kwenye taarifa...

Rais wa moja ya taifa thabiti zaidi kidemokrasia Afrika, Namibia, afa kwa saratani

NA WANDERI KAMAU RAIS William Ruto, Jumapili aliwaongoza Wakenya kutuma rambirambi kwa watu wa Namibia, kufuatia kifo cha Rais Hage...

Mtakuja kuelewa umuhimu wa kubariki mashoga – Papa

NA MASHIRIKA VATICAN CITY, VATICAN KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amesema katika mahojiano yaliyochapishwa Jumatatu...

Italia yaahidi ushirikiano mzuri, yakataza Afrika tabia ya ukupe

NA HASSAN WANZALA BARA la Afrika litatengewa nafasi na kupewa zingatio maalum katika ajenda ya Italia kwenye kipindi chake cha urais wa...

Guterres ataka nchi kuendelea kutoa misaada kwa raia Gaza

NA AFP KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres ameyasihi mataifa fadhili kuendelea kufanya hisani kwa shirika lake la...

Waziri matatani kwa kukejeli watu wenye njaa

NA WANDERI KAMAU WAZIRI mmoja nchini Uganda, ameshtumiwa vikali baada ya kuwaita watu waliofariki kutokana na njaa nchini humo kuwa...

Watoto wa Mr Ibu waiba Sh9.9m za kugharimia matibabu yake

NA MASHIRIKA LAGOS, NIGERIA WANA wawili wa mwigizaji staa wa Nigeria, John Okafor almaarufu Mr Ibu, walikamatwa kwa madai ya kuiba...