• Nairobi
  • Last Updated February 26th, 2024 9:50 AM

Bobi Wine ashambuliwa kwa madai yake kuhusu sheria ya ushoga Uganda

NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA MWANASIASA wa Uganda Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine, amekosolewa vikali kwa kudai kwamba Rais...

Mkenya wa miaka 52 ashtakiwa Amerika kwa kupanga kuua bibi yake 

NA MWANGI MUIRURI  MWANAMUME Mkenya ameshtakiwa nchini Amerika kwa makosa ya kujaribu kupanga njama kuua mwanamke wa familia yao. Bw...

Waliohusika na sheria dhidi ya ushoga Uganda kunyimwa kibali cha kuingia Amerika

NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA AMERIKA ilidokeza Jumatatu kuwa itafutilia mbali viza za maafisa wa Uganda ambao walihusika na sheria tata...

COP28: Wanaharakati wakubaliwa kuandamana kupinga matumizi ya visukuku, machafuko Gaza

NA JACOB WALTER Akiwa DUBAI, UAE HATIMAYE wanaharakati wamekubaliwa kuandamana jijini Dubai katika Milki za Kiarabu (UAE) ili kutoa...

Israel yaanza tena kulipua Gaza muda wa kusitisha mapigano ukifika mwisho

NA AFP ISRAEL, JERUSALEM JESHI la Israeli limeanza tena mapigano Gaza, huku mashambulizi ya anga na risasi yakiripotiwa katika mji wa...

Ajuza wa miaka 70 akaidi sayansi na kujifungua mapacha

KAMPALA, Uganda NA DAILY MONITOR MWANAMKE mwenye umri wa miaka 70 ameshangaza wengi baada ya kujifungua pacha na kukaidi sayansi kwamba...

Milio ya risasi kutulia kwa muda katika Ukanda wa Gaza

NA MASHIRIKA JERUSALEM, ISRAELI PANDE hasimu za Israeli na kundi la Hamas zimekubali kurefusha muda wa kusitisha mapigano kwa siku mbili...

Israeli na Hamas wabadilishana wafungwa na waliokuwa wametekwa

NA MASHIRIKA GAZA, Palestine KUNDI la Hamas limeachilia mateka 24 waliokuwa wamezuiliwa Gaza kwa juma kadhaa na wafungwa 29 wa...

Afrika Kusini yapiga kura ya kuvunja uhusiano na Israel kwa sababu ya ‘ukatili’

NA MASHIRIKA PRETORIA, AFRIKA KUSINI WABUNGE nchini Afrika Kusini walipiga kura siku ya Jumanne kuunga mkono kufungwa kwa ubalozi wa...

Raia wa Gaza wapitia mateso ya kutisha hospitali zote zikisitisha huduma

NA MASHIRIKA PALESTINA, GAZA SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA limeonya kwamba bohari yake ya...

Wanajeshi 2 wa Uganda wahukumiwa kwa kutoroka Al-Shabaab walipovamia kambi

NA MASHIRIKA MAHAKAMA moja ya kijeshi nchini Uganda imewapata wanajeshi wawili na hatia ya kuwa waoga, wakati wanajeshi wa taifa hilo...

Mamia ya watu waripotiwa kuuawa katika vita magharibi mwa Sudan

Na XINHUA KHARTOUM, SUDAN MAMIA ya watu wameuawa na wengine kudhulumiwa katika mapigano katika jimbo la Darfur magharibi mwa Sudan,...