• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

Wabunge wanaotishia kupiga kura kumtimua Linturi

NA JESSE CHENGE  KUNDI la wabunge chini ya muungano wa Azimio la Umoja na wengine kutoka UDA, limetangaza nia kutaka kumwondoa afisini...

Serikali kuajiri walimu 20,000 kwa shule za JSS

NA COLLINS OMULO SERIKALI itaajiri walimu 20,000 zaidi katika mwaka wa kifedha ujao kwa gharama ya Sh4 bilioni kupunguza kero ya uhaba wa...

Janga jipya la mafuriko

WINNIE ATIENO NA JURGEN NAMBEKA GAVANA wa Tana River Dhado Godhana, ameonya kuwa kaunti yake inakodolea janga lingine la mafuriko kufuatia...

Jinsi mshukiwa wa ulanguzi mihadarati kupitia wanafunzi wa kike alivyonyakwa

NA WINNIE ATIENO MAAFISA kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai na Uhalifu (DCI) wamemkamata mwanamume anayeshukiwa kuwa mhusika mkuu wa...

CJ Koome akaa ngumu kuhusu kilio cha Wakili Ahmednassir 

NA RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu (CJ) Martha Koome na majaji wengine sita wa Mahakama ya Juu wameomba Mahakama Kuu ifutilie mbali kesi ya...

Natembeya analenga kiti cha urais 2032?

NA FRANCIS MUREITHI TANGU afisa wa zamani wa utawala George Natembeya aliposhinda ugavana wa Trans Nzoia ameendelea kuibua maswali mengi...

Afueni kwa Wakenya bei ya mafuta ikishuka zaidi

NA WANDERI KAMAU MAMLAKA ya Kudhibiti Kawi na Petroli (EPRA) imepunguza bei ya mafuta kwa hadi Sh18, kwenye bei mpya zitakazoanza...

Muuza dhahabu feki aachiliwa kwa dhamana

NA RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA anayeshtakiwa kupokea kitita cha Dola za Amerika (USD) 250, 000 (KSh37.5 milioni) ameachiliwa kwa...

Washtakiwa kwa ulaghai wa shamba la Sh14 bilioni

NA RICHARD MUNGUTI MAAFISA watatu wa kampuni ya kununua mashamba ya Aimi Ma Lukenya Society (AML) wameshtakiwa kwa unyakuzi wa shamba la...

Iran yaishambulia Israeli kwa msururu wa droni

REUTERS Na WANDERI KAMAU Jerusalem, Israeli IRAN mnamo Jumamosi, Aprili 13, 2024 usiku ilizindua msururu wa mashambulizi ya droni na...

Koome kwa polisi: Wakabili madaktari wanaogoma

NA WANDERI KAMAU INSPEKTA Jenerali wa Polisi, IG Japhet Koome, Jumapili, Aprili 14, 2024, aliwaagiza makamanda wa polisi nchini...

Baada ya mbolea feki, wakulima sasa wanalia mbegu faafu za mahindi hazipatikani madukani

NA OSCAR KAIKAI MAELFU ya wakulima katika kaunti za Bonde la Ufa wamelalamikia ukosefu wa mbegu za mahindi hasa katika msimu huu wa mvua...