Mwenye China Square asema nia yake ni kupunguzia Wakenya mzigo wa gharama ya maisha

NA MARY WANGARI MMILIKI wa duka linalopigwa vita la China Square alijitetea mbele ya Bunge la Kitaifa akisema kuwa nia yake si kuharibu...

Dereva Maxine Wahome kushtakiwa baada ya hospitali kubaini yuko timamu kiakili

NA RICHARD MUNGUTI DEREVA wa Safari Rally Maxine Wahome yuko timamu kiakili kushtakiwa kwa mauaji ya mpenziwe Assad Khan Desemba 12,...

Ruto na Mattarella wategua kitendawili cha mabwawa ya Arror na Kimwarer

NA WANDERI KAMAU UJENZI uliokwama wa mabwawa ya Arror, Kimwarer na Itare utarejelewa upya katika miezi kadhaa ijayo, baada ya Kenya na...

Kapteni William Ruto aanza kazi rasmi KPA

ANTHONY KITIMO NA WINNIE ATIENO MKURUGENZI Mkuu mpya wa Mamlaka ya Bandari za Kenya (KPA), Kapteni William Kipkemboi Ruto, ana kibarua...

Soja aomba ugali ale apate nguvu kujibu mashtaka

NA TITUS OMINDE SOJA alichekesha waliofika mahakamani Eldoret mnamo Jumatatu, alipomlilia hakimu aamuru apewe ugali ale ili pate nguvu...

Italia yaahidi kusaidia Kenya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

NA MASHIRIKA RAIS wa Italia Sergio Mattarella aliyewasili nchini Kenya Jumatatu, Machi 13, 2023 amekutana na Rais William Ruto katika...

Diwani atoa hundi za basari kuwafaa wanafunzi 500, aahidi kutafutia vijana kazi kwenye viwanda

Na SAMMY KIMATU skimatu@ke.nationmedia.com WAZAZI wenye watoto wanaoishi na ulemavu wameombwa kutowaficha watoto wao nyumbani na badala...

Nassir adai ipo njama mpya ya kuuza bandari

WINNIE ATIENO Na VALENTINE OBARA GAVANA wa Mombasa, Bw Abdulswamad Nassir, amedai kuna njama mpya ya serikali kuuzia mwekezaji wa...

Wazee zaidi ya 100 wapata matibabu ya bure kupitia mpango wa wahisani Kilifi

NA ALEX KALAMA  KWA miaka mingi wazee wasiojiweza katika kaunti ya Kilifi wamekuwa wakiugua magonjwa bila kupata usaidizi wowote baada...

Diwani aikumbusha serikali ya kaunti ikamilishe ujenzi wa daraja la Dongokundu

NA ALEX KALAMA MWAKILISHI wa wadi ya Dabaso Emmanuel Changawa ameitaka serikali ya Kaunti ya Kilifi kuuorodhesha mradi wa daraja la...

Mzozo watokota Bondeni kuhusu agizo la Kindiki

GEOFFREY ONDIEKI, FLORAH KOECH Na SAMMY LUTTA MGOGORO mkubwa wa kibinadamu unatokota katika maeneo yanayolengwa kwenye awamu ya pili ya...

Asilimia kubwa ya wakazi wa Tana River huenda haja vichakani – Shirika labaini

NA KNA TAKRIBAN asilimia 50 ya wakazi wa Kaunti ya Tana River hawana vyoo na hivyo basi huenda haja vichakani. Kulingana na Mratibu wa...