• Nairobi
  • Last Updated April 12th, 2024 5:55 PM

Hofu watoto wanaoambukizwa Ukimwi na mama zao wakiongezeka

NA ERIC MATARA MAAFISA wa afya katika Kaunti ya Narok wameelezea wasiwasi kuhusu ongezeko la idadi ya watoto wanaoambukizwa virusi vya...

Gavana Mwangaza ataja vitisho kiini cha kutotembelea Igembe

NA DAVID MUCHUI GAVANA wa Meru Kawira Mwangaza alifichua kuwa vitisho vya kila mara kutoka kwa wapizani wake ndio sababu kuu ya kukaa...

Polisi matatani kwa dai la kuruhusu mshukiwa auawe

NA MWANGI MUIRURI POLISI watano kutoka kituo cha polisi cha Murang’a huenda wakakamatwa na kushtakiwa kuhusiana na mauaji ya mhudumu...

Polisi waokoa watoto 10 waliozuiliwa kanisani kwa ‘mafunzo ya utawa’

NA GITONGA MARETE POLISI wa Timau, eneobunge la Buuri wanachunguza jinsi ambavyo kanisa moja limekuwa likiwazuilia wasichana wadogo kwa...

Urafiki wa Joho, Omar wazua joto kisiasa

NA WINNIE ATIENO JUHUDI za aliyekuwa Gavana wa Mombasa, Hassan Joho kuunganisha viongozi wa Pwani waliokuwa mahasimu wake kisiasa...

Watu 12 wakamatwa kwa kula eneo la wazi mchana wa Ramadhani

NA THE CITIZEN POLISI katika eneo la Mjini Magharibi visiwani Zanzibar wamewakamata watu 12 kwa kula na kunywa maeneo ya wazi mchana wa...

Matatu ya abiria 14 yanaswa ikibeba wanafunzi 31!

NA CHARLES WASONGA MAAFISA wa Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama Barabarani (NTSA) katika Kaunti ya Meru wamenasa matatu moja ya viti 14 vya...

Mbolea feki: Linturi kuhojiwa na maseneta

NA WANDERI KAMAU SENETI imewaagiza mawaziri Mithika Linturi (Kilimo), Rebecca Miano (Biashara) na maafisa wa Halmashauri ya Kukagua Ubora...

Makatibu wa wizara waagizwa kubuni kamati za kupambana na ufisadi

NA CHARLES WASONGA SIKU chache baada ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kuanika uozo wa ufisadi serikalini, makatibu wa...

Ndoa zasambaratika kwa vijana kutafuta ajira majuu – Askofu

NA SAMMY KIMATU TATIZO la ukosefu wa ajira nchini limechangia vijana wengi nchini kuenda ughaibuni na kuacha ndoa zao changa zikiwa...

Echesa alazwa Karen huku vijana wakitisha kuandamana

RICHARD MUNGUTI Na SHABAN MAKOKHA POLISI wamempeleka aliyekuwa Waziri wa Michezo Rashid Echesa katika hospitali ya Karen kutibiwa, baada...

Polisi matatani kwa kudaiwa kuruhusu mauaji ya mshukiwa

NA MWANGI MUIRURI MAAFISA watano kutoka kituo cha polisi cha Murang’a huenda wakakamatwa na kushtakiwa kuhusiana na mauaji ya mhudumu wa...