• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:42 PM

Ruto ashangaa ufisadi unavyosakatwa katika asasi za serikali

NA WYCLIFFE NYABERI RAIS William Ruto amelalamikia ufujaji wa rasilimali katika baadhi ya mashirika ya serikali, akisema jambo hilo...

Afisi za uhamiaji Bungoma kuanza kutoa huduma kamili za pasipoti

NA JESSE CHENGE WAKAZI wa Bungoma na eneo la Magharibi kwa ujumla hivi karibuni wataondolewa gharama ya kusafiri Kisumu au Eldoret...

Mbinu maalum kuzima ujangili Kerio Valley 

NA OSCAR KAKAI VYOMBO vya usalama Bonde la Kerio Valley vinapanga kutekeleza ‘mashambulizi’ kwenye maficho ya wahuni ambao wamekuwa...

Shule za upili kusubiri siku 10 kupata ufadhili wa serikali – Belio

NA CHARLES WASONGA SHULE za upili za umma zitasubiri kwa muda wa karibu siku 10 kabla ya kupokea mgao wa Sh16.25 bilioni za kufadhili...

Mjeledi wa Waziri Kindiki kwa polisi wanaocheza karata na sheria za pombe

NA TITUS OMINDE WAZIRI wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki amewataka maafisa wa polisi na watumishi wengine wa umma kuchagua kati ya...

‘Wana’ wa Ruto wakabana koo kuhusu madai ya hongo ya Sh13 bilioni

NA RICHARD MUNGUTI WAZIRI wa Uchukuzi na Barabara Kipchumba Murkomen na Seneta wa Nandi, Samson Cherargei wameendeleza uhasama wao,...

Wakenya kuanza kuvuna pesa kupitia Facebook na Instagram

NA WANDERI KAMAU RAIS William Ruto mnamo Jumatatu Machi 18, 2024 alisema kuwa wasanii na Wakenya wanaotumia mitandao ya Facebook na...

Mbunge, Maimam wazozania chakula cha msaada

NA WINNIE ATIENO UGAVI wa chakula cha msaada kwa jamii ya Waislamu umegeuka kuwa wa kisiasa baada ya Mbunge wa Nyali, Bw Mohammed Ali na...

EACC, ODPP na Muturi wapinga mswada wa marekebisho ya sheria kupambana na ufisadi

NA CHARLES WASONGA ASASI za serikali zinazohusika katika vita dhidi ya ufisadi zimepinga mswada wa marekebisho ya sheria za ufisadi...

Gachagua aapa kuadhibu wanasiasa watundu Rift Valley

NA TITUS OMINDE NAIBU Rais, Rigathi Gachagua ameapa kukabiliana na wanasiasa ambao huleta aibu katika mikutano ya Rais William Ruto...

Huzuni Mwanahabari maarufu wa NTV, Rita Tinina akiaga dunia

NA WANDERI KAMAU MWANAHABARI maarufu wa kituo cha televisheni cha NTV, Rita Tinina, ameaga dunia. Kituo hicho kinamilikiwa na shirika...

Mjukuu wa Moi matatani kwenye kesi ya malezi

NA JOSEPH OPENDA MAHAKAMA ya Nakuru imesongesha mbele amri dhidi ya mjukuu wa Rais Mstaafu marehemu Daniel Arap Moi, Collins Kibet baada...