• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 8:55 AM

Magavana wakemewa kwa kutishia madaktari

NA GEORGE MUNENE MAGAVANA wameshutumiwa vikali kwa kutishia kufuta kazi madaktari wanaogoma na ambao wamelemaza huduma za afya kote...

Kaunti kutia mfukoni Sh35 bilioni kila mwaka

NA ERIC MATARA KAUNTI 21 zinamezea mate mapato ya zaidi ya Sh35 bilioni kila mwaka katika mpango wa Rais William Ruto wa kugawana 50:50...

Wavuvi washauriwa kutumia mbinu za kisasa kuunda maboti

NA ANTHONY KITIMO HALMASHAURI ya masuala ya bahari nchini (KMA) mwaka huu (2024) itaanzisha kampeni kuhimiza wavuvi kutumia mbinu za...

Nitatembelea Jowi gerezani, baba ya Monica asema

ERIC MATARA Na BENSON MATHEKA BABA ya Monica Nyawira Kimani, mfanyabiashara aliyeuawa, Askofu Paul Ngarama, amefichua nia yake ya...

Majonzi mwanachuo mjamzito akijinyonga

NA VITALIS KIMUTAI MWANAFUNZI wa chuo kikuu, ambaye alikuwa mjamzito, alijiua katika mtaa mmoja mjini Kericho katika kisa kilichoshtua...

Caroli Omondi amtaka Raila akome kuingilia siasa za Kenya kuanzia sasa  

NA GEORGE ODIWUOR MBUNGE wa Suba Kusini Caroli Omondi sasa anamtaka Kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga akome kushiriki siasa za...

Mafuriko yaja – Idara ya Utabiri wa Hali ya Anga yaonya

NA CHARLES WASONGA IDARA ya Utabiri wa Hali ya Anga imewataka Wakenya kujiandaa kwa mafuriko katika maeneo sita nchini. Katika...

Maseneta wataka makuhani wa mbolea feki wakamatwe

NA COLLINS OMULO MASENETA sasa wanataka maafisa wa serikali walioruhusu mbolea duni kuingia nchini na katika mabohari ya Bodi la Nafaka na...

Jinsi ukosefu wa sodo Pokot Magharibi unachangia wasichana kuacha shule

NA OSCAR KAKAI  KAUNTI ya Pokot Magharibi ingali inakumbwa na kero ya uhaba wa tauli za hedhi hususan kwa wasichana wa shule, suala...

Kenya kuagiza sukari nje ya COMESA

NA VICTOR RABALLA SERIKALI sasa inapania kuagiza sukari zaidi kutoka mataifa yasiyo wanachama wa Soko la Pamoja la Afrika Mashariki na...

Hofu watoto wanaoambukizwa Ukimwi na mama zao wakiongezeka

NA ERIC MATARA MAAFISA wa afya katika Kaunti ya Narok wameelezea wasiwasi kuhusu ongezeko la idadi ya watoto wanaoambukizwa virusi vya...

Gavana Mwangaza ataja vitisho kiini cha kutotembelea Igembe

NA DAVID MUCHUI GAVANA wa Meru Kawira Mwangaza alifichua kuwa vitisho vya kila mara kutoka kwa wapizani wake ndio sababu kuu ya kukaa...