• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 10:50 AM

Maji yamkaribia Trump shingoni mshirika wake wa pili akikiri kujaribu kubatilisha kura ya urais ili kumfaidi

LABAAN SHABAAN na MASHIRIKA WAKILI Sidney Powell amekiri alikula njama ya kupindua matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Georgia kwa...

Wanamapinduzi Niger wadai wamezima jaribio la Rais Bazoum kutoroka jela akitumia helikopta

NA MASHIRIKA NIAMEY, NIGER WATAWALA wa kijeshi Niger walisema kuwa Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum, alijaribu kutoroka siku...

Utajiri wa watu wa Dar waongezeka

NA EPHRAIM BAHEMU, Mwananchi DAR ES SALAAM, TANZANIA TAKWIMU mpya za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinaonyesa ongezeko la asilimia tano...

Kituo cha kurekebisha shepu na kuchonga makalio chazinduliwa Muhimbili-Mloganzila

NA HERIETH MAKWETTA DAR ES SALAAM, TANZANIA HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inatarajia kufanya huduma za kibingwa bobezi za...

Israel yasema wanajeshi wake 169 wameangamia huku wakiendelea kunyeshea makombora Gaza

JERUSALEM, Israeli Na AFP WANAJESHI 169 wa Israeli wameuawa katika mapigano dhidi ya kundi la wapiganaji wa Kipalestina, Hamas, jeshi la...

Obama akashifu Hamas kwa ‘shambulizi la kigaidi lenye ujasiri bila aibu’ dhidi ya Israel

NA LABAAN SHABAAN ALIYEKUWA  Rais wa Amerika, Barack Obama, amevunja kimya chake kuhusu mashambulizi kati ya Israel na Palestina. Bw...

Msanii wa Amerika Jason Derulo ashtakiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia na ngono

NA MERCY KOSKEI MWIMBAJI wa Amerika Jason Derulo ameshtakiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia na msanii wa kike ambaye alikuwa anarekodi...

Rais Ruto, Mwenyekiti wa AU Moussa Faki watofautiania kuhusu vita kati ya Israel na Palestina

NA LABAAN SHABAAN KENYA imechukua msimamo tofauti na Umoja wa Afrika (AU) kuhusu vita vinavyoendelea kati ya Israel na...

Kunguni: Algeria yapiga dawa kwa vyombo vya usafiri vya kuenda na kutoka nchini Ufaransa

NA MASHIRIKA ALGIERS, ALGERIA MAMLAKA nchini Algeria zimeimarisha hatua za afya katika mipaka yake ili kupunguza kuenea kwa kunguni,...

Wanawake wanaovaa vimini na suruali za kuonyesha shepu ya makalio kutozwa faini Sh3,000

NA JANETH MUSHI, MWANANCHI ARUSHA, TANZANIA KUTOKANA na kuporomoka kwa maadili hasa kwa vijana katika maeneo mengi nchini Tanzania,...

Ni rasmi sasa kwamba Kenya itapeleka polisi 1,000 nchini Haiti baada ya UNSC kutoa idhinisho

NA MASHIRIKA SASA ni rasmi kwamba Kenya itaongoza Kikosi cha Walinda Usalama kutoka mataifa mbalimbali kuelekea nchini Haiti kupambana...

Kenya kujua ikiwa itapeleka polisi Haiti

NEW YORK, AMERIKA NA MASHIRIKA BARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) linatarajiwa kupiga kura kufanya uamuzi kuhusu ikiwa...