• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 7:50 AM

Faida za kiafya za kuruka kamba

NA MARGARET MAINA [email protected] JE, huwezi kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi? Kweli, inaweza kuonekana kuwa ngumu kudhibiti...

SHINA LA UHAI: Changamoto katika afya ya akili zabainika wazi

NA WANGU KANURI JOAN Chepkorir aligundua hali haikuwa shwari alipompoteza binamu yake akiwa shule ya upili. Uchungu wa kumpoteza...

Makwapa yangu yamekuwa meusi

Mpendwa Daktari, Makwapa yangu yamebadili rangi na kuwa meusi, jambo linalonisababishia aibu. Nimetumia ndimu, chachu na hata dawa ya...

Faida za matunda aina ya pepino melon

NA MARGARET MAINA [email protected] PEPINO melon pia wakati mwingine huitwa tunda bora kwa sababu ya faida zake nyingi za...

Je, unafahamu kwamba kuogelea kuna faida tele?

NA MARGARET MAINA [email protected] KUOGELEA ni njia bora ya mazoezi kwa mwili wako wote na mfumo wa moyo na mishipa. Muda wa...

Baadhi ya visababishi vya kiungulia

NA MARGARET MAINA [email protected] KIUNGULIA humfanya mtu ahisi kana kwamba kuna mwasho kifuani. Chakula tunachokula hupitia...

Faida za mboga aina ya karela (bitter gourd)

NA MARGARET MAINA [email protected] KARELA ni aina mojawapo ya mboga zenye afya. Imejaa antioxidants, vitamini na madini....

Umuhimu wa kula vitamini mara kwa mara

NA MARGARET MAINA [email protected] KATIKA hali ya sasa ambapo watu hufuata mitindo ya maisha yenye shughuli nyingi, ni muhimu...

Tiba za nyumbani kwa wenye maumivu ya meno

NA MARGARET MAINA [email protected] MAUMIVU ya jino hutokea wakati neva ndani ya jino zinapowasha au kuna maambukizi ya bakteria...

Faida za mbegu za katani

NA MARGARET MAINA [email protected] MBEGU za katani ni chanzo kikubwa cha magnesiamu, madini ambayo husaidia kudhibiti mapigo...

Faida za mbegu za mpopi

NA MARGARET MAINA [email protected] MBEGU za mpopi ni chanzo kizuri cha nyuzinyuzi muhimu kwenye lishe. Nazo husaidia...

Faida za mkaa

NA MARGARET MAINA [email protected] MKAA ulioamilishwa ni unga mweusi, usio na harufu na ambao hutumiwa mara nyingi katika...