• Nairobi
  • Last Updated June 2nd, 2023 9:28 PM

MITAMBO: Mtambo unaosaidia wakulima kufunga vitita vya nyasi

NA RICHARD MAOSI MTAMBO wa baler hutumika kushindilia nyasi na hatimaye kuunda vitita vya nyasi. Nyasi hizo maarufu kama hay, ni...

ZARAA: Nyasi maalum inayopatia wafugaji matumaini tele

NA LABAAN SHABAAN JOSEPH Mwangi, Burton Githaiga na John Karia ni wataalamu wa uhandisi, sheria na mazingira mtawalia ambao...

Anavyovuna katika biashara ya kuchoma nyama  

NA SAMMY WAWERU IDADI ya watu ulimwenguni ikikadiriwa kuongezeka kwa kasi ifikapo 2050, ulaji nyama unatarajiwa kuongezeka mara...

Covid-19 ilivyogeuza ufugaji nguruwe kuwa kampuni

NA SAMMY WAWERU DAIICHI Farm Ltd ni kampuni inayojishughulisha na usindikaji (processing) wa nyama za nguruwe katika Kaunti ya Meru....

Polisi mchoraji ahimiza wenzake watumie talanta kuzima msongo wa mawazo

NA MAGDALENE WANJA ELIJA Gakuya alikuwa tu amehitimu na cheti cha Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU), alipoona tangazo kwenye...

Empower Smart yabuni apu ya kudhibiti ‘pocket money’

Na MAGDALENE WANJA KUKIDHI mahitaji ya mwanafunzi chuoni sio jambo rahisi kwa mzazi mwenye watoto zaidi ya mmoja. Changamoto kuu huwa...

Gesora Mwasi: Kuuza bidhaa mitandaoni kwahitaji ubunifu wa hali ya juu

NA MAGDALENE WANJA Je, ushawahi kufahamu manufaa ya kuwa mkwasi katika matumizi ya mitandao? Kijana Gesora Mwasi alianza kuvuna hela...

Viungo maalum vya nyama vinateka soko moto

NA SAMMY WAWERU VIUNGO maalum vya nyama za mifugo, vimethibitisha kuteka masoko yenye ushindani mkuu ndani na nje ya nchi. KenMeat,...

Nafasi ya kilimo cha miti kugeuza Kenya kuwa Sweden

Na SAMMY WAWERU SWEDEN, taifa la Nordic lililoko Scandinavian Peninsula Kaskazini mwa Bara Uropa ni mojawapo ya nchi utakayotamani...

Bernard Wanjohi Njathi: Mwanzilishi wa shirika la kusaidia wafugaji kuweka data muhimu

Na MAGDALENE WANJA BERNARD Wanjohi Njathi, 34, alikuwa na ndoto ya kuwa daktari lakini alipokosa, aliamua kusomea taaluma ya Usimamizi...

Mkulima Wangari Kuria ambaye amejizolea lakabu ‘Farmer on Fire’ kutokana na juhudi zake shambani

NA MAGDALENE WANJA MKULIMA Wangari Kuria anatambulika kwa jina 'Farmer on Fire', kutokana na juhudi zake shambani. Wangari pia...

Wanakuza Hass Avocado kuwafaa wakazi wa Gusii

NA WYCLIFFE NYABERI IKIWA umewahi kusafiri majira ya jioni kutoka Kisii kwenda Nairobi siku yoyote ile, huenda macho yako yalitua kwenye...