UJASIRIAMALI: Jukwaa la kuwapa fursa watu wenye uwezo wa kawaida kujiamini, kupata kazi

NA MAGDALENE WANJA KATIKA masomo yake ya shule ya upili, Bryan Chesoli alitambulika kama mwanafunzi wa kiwango cha kawaida tu. Jambo...

UJASIRIAMALI: Watumia teknolojia kupata wateja wa mboga na matunda salama kwa afya

NA MARGARET MAINA URAFIKI wa Seif Waziri, 25, na Paul Rugendo, 23, ulianza mwaka wa 2017 wakiwa chuoni na umekua hadi wakaanza kufanya...

UJASIRIAMALI: Jinsi Shiru Ndirangu anavyopiga hatua kwa kuuza matunda na mboga nje ya nchi

Na MAGDALENE WANJA NDOTO ya Shiru Ndirangu tangu utotoni ilikuwa ni awe rubani ila hakupata nafasi ya kusomea kazi hiyo baada ya...

UJASIRIAMALI: Ufugaji sungura wenye tija

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com UFUGAJI wa sungura nchini Kenya unaendelea kuimarika kila siku. Siku hizi sungura hufugwa...

UJASIRIAMALI: Alitalii, akapata wazo la kuuza utalii na hajuti

NA PETER CHANGTOEK SASHA Seraphine Mbote alijiuzulu kutoka kwa kazi aliyokuwa akifanya kama meneja wa ‘Spa’ na kuanzisha kampuni yake...

MITAMBO: Hiki hapa kipima ubora wa kahawa

NA RICHARD MAOSI KUPUNGUA kwa ardhi inayotumika kuendesha kilimo ni mojawapo ya changamoto ambazo zimekuwa zikiwakumba wakulima wa...

MAZINGIRA: Mchango wa kilimo-bustani katika kuimarisha tabianchi

NA PAULINE ONGAJI VIONGOZI wa kimataifa na wataalam wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi walipokusanyika kwenye kongamano la 2022 la...

ZARAA: Mfumo bora kuendeleza uzalishaji chakula mijini

NA SAMMY WAWERU MWEZI uliopita, Januari na huu wa Februari, kiangazi na ukame vyote vimeonyesha makali yake huku zaidi ya kaunti 20...

Usokotaji manyoya wapiga jeki kina mama wa Kibra

NA LABAAN SHABAAN KIKUNDI cha kina mama kwa jina Ayani eneobunge la Kibra, Kaunti ya Nairobi kimedumu zaidi ya miongo mitatu tangu...

TUJIFUNZE UFUGAJI: Weka sheria kudhibiti wanaoingia kwenye makao ya kuku wako

NA SAMMY WAWERU KENCHIC ni mojawapo ya kampuni kubwa katika uzalishaji wa kuku nchini na ina mipango miwili kuhakikisha wateja wake...

UFUGAJI: Afurahia ufugaji kuku wa mayai licha ya visiki vingi

NA SAMMY WAWERU PRISCA Njeri amekuwa katika biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai kwa zaidi ya miaka saba. Aliingilia ufugaji bila...

Yeye hugeuza uchafu kuwa sanaa inayolipa

NA LABAAN SHABAAN KELVIN Kilonzo, 28, hakufaulu kuendeleza kisomo chake zaidi ya kiwango cha shule ya upili. Katika kusaka njia ya...