• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 4:55 PM

MITAMBO: Kifaa cha kukausha mazao kuwafaidi wakulima wadogo

NA RICHARD MAOSI  WAKULIMA wengi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za kuhifadhi mazao yao mara tu baada ya kuyavuna, jambo ambalo...

UJASIRIAMALI: Karani anayekuza mboga za kienyeji

NA SAMMY WAWERU AKIWA na umri wa miaka 28, Ceciliah Wangui anaridhia shughuli ya kilimo anayoendeleza kinyume na mtazamo wa vijana wa...

UFUGAJI: Bidii yake inavyomvunia utamu wa asali Makueni

NA LABAAN SHABAAN ZIARA aliyoifanya kwa binamu yake akiwa likizoni mnamo 2017, ilimpatia fursa ya kupata mizinga mitatu ya kiasili na...

ZARAA: Wajukuu wanafurahia matunda ya bidii yake

NA WYCLIFFE NYABERI MJI wa Magena, unaopatikana eneobunge la Bomachoge Borabu, Kaunti ya Kisii, unafahamika vyema kwa ukuzaji wa mboga...

MITAMBO: Kifaa cha kubaini ubora wa udongo kuwafaa wakulima

NA RICHARD MAOSI GHARAMA kubwa zinazohitajika kununua huduma za kitaaluma na vilevile uhaba wa pembejeo muhimu za kuendesha kilimo...

SHINA LA UHAI: Maradhi yasiyosambaa yaendelea kuwa mzigo mzito

NA PAULINE ONGAJI MIONGONI mwa watu kumi wanaokufa, saba kati yao hufariki kutokana na maradhi yasiyosambaa. Kulingana na utafiti wa...

ZARAA: Matomoko ni yenye thamani kubwa kwake

NA SAMMY WAWERU KIJIJI cha Nyati, Kamahuha, Murang’a ni chenye shughuli tele, ukuzaji wa maparachichi, maembe na ndizi ukishika...

MITAMBO: Mtambo faafu kwa wakulima wadogo kumudu gharama

NA RICHARD MAOSI MTAMBO mdogo wa kusaga mazao hutumiwa na wakulima wenye kipato cha kadri au chini, ambao kwa siku nyingi wamekuwa...

UJASIRIAMALI: Sanaa ya kuchonga glasi inavyowajenga

NA MARGARET MAINA AKIWA kijana, David Karitha alikuwa akimtazama mjomba wake akitengeneza vitu vya asili vya kupendeza kutoka kwa...

MITAMBO: Kifaa cha kunasa wadudu waharibifu wa matunda mitini

NA RICHARD MAOSI WANASAYANSI wamekuwa wakijikuna vichwa, wengi wao wakitaka hatua ya dharura kuchukuliwa ili kukabiliana na wadudu...

ZARAA: Nafaka mpya zatoa jibu la kudorora kwa mazao

NA SAMMY WAWERU HUKU Muungano wa Umoja wa Kimataifa (UN) ukijiandaa kufanya kongamano la COP27 makala ya 27 kuhusu tabianchi mwaka huu,...

BIASHARA: Gharama ya juu yazima raha ya kilimo cha maua

NA SAMMY WAWERU KENYA imejiunga na orodha ya nchi ambazo husafirisha maua ng’ambo kupitia meli za mizigo. Hatua hiyo inayofasiriwa...