• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Watengenezaji malisho ya mifugo waomba muda kuongezwa kuagiza kutoka nje malighafi yasiyotozwa ushuru

NA SAMMY WAWERU WASAGAJI chakula cha mifugo wameisihi serikali kurefusha Notisi ya Gazeti Rasmi la Serikali inayowaruhusu kuagiza...

Mitambo na mashine kuboresha kilimo 

NA SAMMY WAWERU HUKU athari za mabadiliko ya tabianchi zikiendelea kuonyesha makali yake, mifumo ya teknolojia kuendeleza kilimo...

NJENJE: Wafanyabiashara wadogo wafaidika chini ya mpango maalum wa kuwapatia mikopo

NA WANDERI KAMAU JUMLA ya biashara ndogo ndogo 2,190 zimepokea Sh3.3 bilioni chini ya mpango wa serikali wa kutoa mikopo kwa...

UJASIRIAMALI: Muundaji mahiri wa bidhaa za aina yake

NA PATRICK KILAVUKA ANNE Mutua amekulia jasho lake kwa miaka 30, akiunda bidhaa za shanga na maarufu zaidi mikoba akitumia aina ya...

MITAMBO: Jinsi apu ya Hello Tractor inavyosaidia kuendeleza kilimo

NA RICHARD MAOSI TEKNOLOJIA ya kisasa imechangia kwa asilimia kubwa uzalishaji wa chakula hususan miongoni mwa wakulima wadogo mashinani...

Harakati za kuokoa msitu zinavyowapatia faida tele

NA SAMMY WAWERU MSITU Kirisia, ulioko Maralal, Samburu uliwahi kuvamiwa na maskwota kutoka eneo hilo. Jamii inayoishi humo ikiwa ni...

Manufaa tele ya ufugaji nyuki wanayoridhia baada ya kuokoa msitu

NA SAMMY WAWERU MSITU Kirisia, ulioko Maralal, Samburu wakati mmoja ulikuwa umevamiwa na maskwota wa ndani kwa ndani.  Jamii...

Corona ilivyofumbua macho kampuni ya macadamia 

NA SAMMY WAWERU JANGA la Covid-19 lilipolipuka mwaka wa 2020, shughuli na biashara nyingi ziliathirika kufuatia sheria na mikakati...

MITAMBO: Mtambo muhimu wa kupulizia mimea dawa mashambani

NA RICHARD MAOSI MIFUMO ya kisasa inayotumika kupulizia mimea dawa huangazia maswala muhimu kama vile hali ya anga, dozi sahihi, aina ya...

Wanavyogeuza taka kuwafaidi kimaisha

NA LABAAN SHABAAN AGHALABU taka na harufu mbaya ni taswira ya kawaida katika maeneo ya masoko mijini na hali si tofauti katika Soko la...

Uvumbuzi: Trekta inayotumika kwenye mashamba madogo

NA SAMMY WAWERU TEKNOLOJIA na mifumo ya kisasa kuendeleza kilimo ni miongoni mwa mbinu zinazotajwa kuchangia pakubwa ongezeko la...

NJENJE: Wakulima kupewa mbegu za GMO bila malipo mwaka 2023

NA WANDERI KAMAU  WAKULIMA nchini watapata mbegu za vyakula vilivyotengenezwa kisayansi (GMOs) kuanzia mwaka ujao, Kenya...