• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 6:55 AM

Harakati za kuokoa msitu zinavyowapatia faida tele

NA SAMMY WAWERU MSITU Kirisia, ulioko Maralal, Samburu uliwahi kuvamiwa na maskwota kutoka eneo hilo. Jamii inayoishi humo ikiwa ni...

Manufaa tele ya ufugaji nyuki wanayoridhia baada ya kuokoa msitu

NA SAMMY WAWERU MSITU Kirisia, ulioko Maralal, Samburu wakati mmoja ulikuwa umevamiwa na maskwota wa ndani kwa ndani.  Jamii...

Corona ilivyofumbua macho kampuni ya macadamia 

NA SAMMY WAWERU JANGA la Covid-19 lilipolipuka mwaka wa 2020, shughuli na biashara nyingi ziliathirika kufuatia sheria na mikakati...

MITAMBO: Mtambo muhimu wa kupulizia mimea dawa mashambani

NA RICHARD MAOSI MIFUMO ya kisasa inayotumika kupulizia mimea dawa huangazia maswala muhimu kama vile hali ya anga, dozi sahihi, aina ya...

Wanavyogeuza taka kuwafaidi kimaisha

NA LABAAN SHABAAN AGHALABU taka na harufu mbaya ni taswira ya kawaida katika maeneo ya masoko mijini na hali si tofauti katika Soko la...

Uvumbuzi: Trekta inayotumika kwenye mashamba madogo

NA SAMMY WAWERU TEKNOLOJIA na mifumo ya kisasa kuendeleza kilimo ni miongoni mwa mbinu zinazotajwa kuchangia pakubwa ongezeko la...

NJENJE: Wakulima kupewa mbegu za GMO bila malipo mwaka 2023

NA WANDERI KAMAU  WAKULIMA nchini watapata mbegu za vyakula vilivyotengenezwa kisayansi (GMOs) kuanzia mwaka ujao, Kenya...

UJASIRIAMALI: Anahesabu mabunda ya noti kwa kuunda vinyago vya kipekee

NA CHARLES ONGADI KATIKA kituo cha kibiashara cha Mtwapa, Kaunti ya Kilifi kwenye barabara kuu ya Mombasa kuelekea Malindi, kuna vinyago...

MITAMBO: Mashini kusaidia kilimo endelevu kulinda mazingira

NA RICHARD MAOSI UTUMIZI wa mbinu bora za kuandaa shamba msimu wa upanzi, huwasaidia wakulima kuboresha udongo, rutuba na viumbe hai...

ZARAA: Mradi wa chuo kuwafaa wakulima wa Migori

NA LABAAN SHABAAN SHADRACK Otieno Obura ni mkulima wa mtama ambaye amenufaika na miradi ya majaribio ya kilimo unaoendelezwa na idara ya...

ZARAA: Siri yake ni bidii shambani na kusaka wateja mitandaoni

NA SAMMY WAWERU HELLEN Wanjiku ni mkulima hodari mwenye maono ya kujikuza zaidi kwa kuzamia shughuli hizo za shambani. Baada ya kufuzu...

OFAB yatuza wanahabari walioripoti vyema mfumo wa bioteknolojia kuboresha kilimo

NA SAMMY WAWERU WANAHABARI wa Kenya ambao wameonyesha umahiri katika kuripoti matumizi ya mfumo wa Bioteknolojia kwenye kilimo...