• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:42 PM

MITAMBO: Ni afueni mfumo wa kuunda bayogesi ukikata gharama

NA RICHARD MAOSI MATUMIZI ya bayogesi ni njia mojawapo ya vyanzo vya nishati kwa manufaa mbalimbali ya nyumbani. Gesi hii...

NJENJE: Afueni kwa wafugaji serikali ikitangaza kuondoa ushuru kwa mahindi ya manjano

NA WANDERI KAMAU WIZARA ya Kilimo imewaruhusu watu wanaotengeneza vyakula vya mifugo kuagiza tani 350,000 za mahindi ya manjano bila...

UJASIRIAMALI: Huduma za arafa zimemjengea jina

NA PETER CHANGTOEK ALIPOJIWA na wazo la kuianzisha kampuni yake, Robert Lang’at hakuwa na fedha za kutosha, na ilibidi aongezewe na...

UFUGAJI: Nguruwe wampatia maisha mapya baa iliposambaratika

NA LABAAN SHABAAN ANNASTACIA Gakuyu aliacha biashara ya baa mwaka wa 2020 baada ya kuathiriwa na mlipuko wa corona na kuingilia ufugaji wa...

MITAMBO: Mashini inayosaidia kupakia mazao na kuyahifadhi vyema

NA RICHARD MAOSI MKULIMA ambaye amejikita kwenye kilimo-biashara anaweza kukabili kero ya kupoteza mazao ya shambani kwa kutumia...

NJENJE: Rwanda sasa yaipita Kenya kwenye bei bora za majanichai

NA WANDERI KAMAU MAJANICHAI kutoka Rwanda yanaendelea kununuliwa kwa bei ya juu katika soko la kuuzia mazao la Mombasa, ikilinganishwa...

UBUNIFU: Ageuza taka kuwa mbolea

NA PETER CHANGTOEK TAKA huleta karaha mno, hususan zinapotapakaa na kusambaa kila mahali. Hata hivyo, kwa Joyce Waithira, taka...

UJASIRIAMALI: Hajaacha kufyatua matofali hata baada ya kupata kazi ya Kamishna Msaidizi

NA PETER CHANGTOEK DAWIN Orina amekuwa akitengeneza matofali kwa muda wa mwongo mmoja na nusu sasa. Yeye ni Kamishna Msaidizi wa...

Ufugaji mbwa wa ulinzi wamlipa tangu aache kazi ya matatu

NA SAMMY WAWERU KIJIJI cha Mugoya, kilomita tano kutoka mji wa Embu, Akilimali inakutana na Martin Gathungu akihudumia mbwa...

Profesa Oduor: Mifumo ya Bioteknolojia hupitia kaguzi za kina za Kisayansi kabla kuidhinishwa

NA SAMMY WAWERU MWANASAYANSI na Mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU) amewataka wakulima kupuuzilia mbali madai ya wakosoaji wa...

Aina mpya ya nyasi za mifugo yenye ubora wa hali ya juu

NA SAMMY WAWERU CHINI ya kipindi cha muda wa miaka mitatu mfululizo, wafugaji nchini wamekuwa wakipitia hali ngumu kutokana na gharama ya...

Wakulima wahimizwa kukuza miti ya matunda

NA SAMMY WAWERU HUKU serikali na wadauhusika wa mazingira wakiboresha mikakati kupanda miti nchini, wakulima wamehimzwa kukuza miti ya...