• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:58 PM

Nimerudi soko, atangaza Akothee akithibitisha kwa mara ya kwanza kuachana na mzungu

MERCY KOSKEI na FRIDAH OKACHI Mwimbaji na mfanyabiashara Esther Akoth almaarufu Akothee amethibitisha kuwa ndoa yake na Denis Schweizer...

Zari ashobokea shabiki aliyetapeliwa Sh24,000

NA FRIDAH OKACHI MFANYABIASHARA mashuhuri wa Uganda, anayeishi Afrika Kusini, Zari Hassan amefichua mazungumzo yake na shabiki mmoja...

Ex wa Diamond Hamisa Mobetto kufanya kazi na hasimu wa Wasafi, Konde Boy

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI Hamisa Mobetto amesema anarudi kwenye muziki, akitarajiwa kushirikiana na mwanamuziki...

Diamond Platnumz amsifu Raila akisema mwanasiasa huyo ndiye ‘Baba Lao’

NA WINNIE ONYANDO MSANII maarufu wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, katika mahojiano ya kipekee na Taifa Leo amefichua kuwa bado ana...

Guardian Angel afanikisha ndoto ya kumiliki studio ya kulea chipukizi wa Injili

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Guardian Angel amezindua studio ya lebo ya Seven Heaven Musics almaarufu 7HM itakayotumiwa na vijana na...

Marioo asema ameshapata Sh6 milioni za kumuoa Paula Kajala

Na SINDA MATIKO MWANAMUZIKI staa Marioo kakiri kwamba yupo tayari kulipa mahari ya Tsh100 milioni (Ksh6 milioni) kwa demu wake soshiolaiti...

Kidume cha mbegu: ‘Manzi wa Kibera’ na mumewe wa miaka 67 watarajia mtoto wa kwanza

NA MERCY KOSKEI SOSHOLAITI kwa jina Sheriffa Wambui, almaarufu Manzi wa Kibera na mumewe wa miaka 67 Samuel Nzuki Ndunda kwa jina la...

Frankie, Maureen wakumbatiana kwa mara ya kwanza baada ya kutibuana vibaya 2019

NA FRIDAH OKACHI MWANAKOTENTI Maureen Waititu alikutana kwa mara ya kwanza na Frankie Kiarie maarufu Frankie Just Gym It baada ya kuweka...

Pasta Ng’ang’a awataka wanawake waachane na Facebook isipokuwa wakihubiri Neno

NA MERCY KOSKEI MCHUNGAJI tata wa Kanisa la Neno James Maina Ng’ang’a amewaacha wengi vinywa wazi baada ya kukataza wanawake...

Esther Musila afurahia tuzo ya kufanya kazi UN kwa muda mrefu

NA FRIDAH OKACHI ESTHER Musila, mke wa mwanamuziki wa nyimbo za Injili Guardian Angel, ametunukiwa cheti na shirika la Umoja wa Mataifa...

Jackie Matubia alipukia shabiki aliyemuuliza kiini cha kukosa hafla ya rafikiye Milly Chebby

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI Jackie Matubia amelipukia mashabiki wake waliojaribu kumkebehi kwa kukosa kuhudhuria sherehe ya harusi ya...

Maskini Simba! Afadhali Diamond Platnumz angejua Kizungu

NA FRIDAH OKACHI MFALME wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz, amewaacha mashabiki na mshangao kwa kuzungumza Kiingereza visivyo akiwa...