• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 3:08 PM

Msiba wa mwana wamleta hadharani ‘mpoa’ wa KarehB

NA MWANGI MUIRURI AJALI ya barabarani iliyosababisha kifo cha Joseph Mwadulo, ambaye alikuwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika shule...

Usimpe mke presha ya kukuzalia kijanadume – Nameless

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI David Mathenge almaarufu Nameless amesema presha za mashabiki kwamba yeye na mkewe Wahu walitarajia mtoto...

Tanzia: Ex-mume wa Lady JayDee aaga dunia

NA SINDA MATIKO ALIYEKUWA mumewe nyota mkongwe wa Bongo Flava Lady JayDee, mtangazaji maarufu Gardner 'Captain' Habash amefariki...

Instagram ilinipa mume, asema Rev Lucy Natasha

NA FRIDAH OKACHI MHUBIRI wa kanisa la Empowerment Christian Church, mjini Nairobi, Bi Lucy Natasha, amefichua kuwa alipatana na...

Mashabiki hawapati picha kabisa Bensoul kutema Noni Gathoni na kuchukua beste yake Cindy K

NA SINDA MATIKO WASWAHILI wanasema kikulacho ki nguoni mwako. Ni methali ambayo staa wa zamani wa Sol Generation Bensoul anaifahamu...

Baada ya msoto, Colonel Moustapha atamani kurudi soko, anamisi kuwa na demu

Na SINDA MATIKO COLONEL Moustapha amechoka. Rapa huyo aliyetrendi mwaka jana baada ya kuonekana akifanya kazi za mjengo, anasema...

MWANAMIPASHO: Jirani pale Tanzania anatamba, amezindua tuzo kali za muziki, sisi huku?

NA MWANAMIPASHO OYA Bwana! Hivi umesikia mikakati ambayo kamati andalizi ya tuzo za Tanzania Music Awards (TMA) 2024 zitakazotolewa Juni...

Samidoh: Hizi drama zangu nazipenda sana, zinanipa hamu ya kuishi

Na SINDA MATIKO STAA wa mugithi, Samuel Muchoki, almaarufu Samidoh anasema anayahusudu maisha anayoishi pamoja na drama zote za wanawake...

Kiki ya mcheshi KK Mwenyewe ya kula pilipili yaishia kukimbizwa hospitalini

NA FRIDAH OKACHI MCHEKESHAJI Zachariah Kariuki almaarufu KK Mwenyewe ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kutafuta tiba katika hospitali...

Wamekwepa skendo na drama licha ya kuweka penzi hadharani

NA SINDA MATIKO UNAPOKUWA staa tena uwe kwenye mahusiano, ni vigumu sana kuepuka mahusiano yako kupigwa msasa. Mapaparazi siku zote...

Nazizi afunguka jinsi mwanawe mdogo alifariki wakiwa hotelini Tanzania

NA SINDA MATIKO MIEZI mitatu baadaye, rapa Nazizi kwa mara ya kwanza amefunguka mazingira yaliyopelekea mwanawe kufariki huku akikana...

Meneja alia kukaushwa tangu Stevo Simple Boy azirai kwenye runinga

NA FRIDAH OKACHI CHINGIBOY Mstado ambaye ni meneja wa msanii Stephen Otieno Adera almaarufu Stivo Simple Boy amefichua kutokuwa na...