KIKOLEZO: Domokaya Kanye ajichomea

NA SINDA MATIKO UNAJUA ulimi ni kiungo kidogo sana ila kina nguvu zaidi ya zile nywele za Samsoni wa Biblia. Unafikiri Vita Vikuu vya...

DOMO: Huku kuanika tumbo kwasinya

NA MWANAMIPASHO KUNA wimbo wa zilizopendwa niliosikiliza juzi, ukanikuna akili. Sijui jina la wimbo ila najua wasanii walotunga...

DOMO: Vera, makalio si kitu kipya!

NA MWANAMIPASHO KWA kweli mambo ni mengi masaa ndio machache. Kuna msela mmoja pale Twitter anajiita Billy The Goat. Ana ufuasi...

KASHESHE: Vannyboy arusha jiwe

NA SINDA MATIKO MWANAMUZIKI Rayvanny karusha jiwe gizani kwa kudai kwamba toka ameondoka WCB Wasafi, sanaa yake imekua hata...

DOMO: Wakati mwingine tuache ujinga

NA MWANAMIPASHO WAKENYA bwana. Yaani licha ya uchumi wetu ulivyo mgumu bado tu elfu nne wewe mliamua hamtakosa Nyege Nyege Festival. Kwa...

KIKOLEZO: Nabii aliyekataliwa kwao!

NA SINDA MATIKO MWEZI Agosti nilikuwa jijini Kisumu kwa shughuli ya uzinduzi wa jukwaa la utumbuizaji la Dunga Hill Camp lililofadhiliwa...

DOMO: Mhesh asalimu amri ya KOT!

NA MWANAMIPASHO NAFIKIRI nishawahi kusema hapa na narudia tena, vitu vitatu ninavyoviogopa mimi; ni Mungu, uji moto na sasa...

KIKOLEZO: Penzi lakubali mabosslady!

NA  SINDA MATIKO KWA miaka na mikaka, suala la mpenzi wa kike kumpiku mpenziwe kipato limeishi kuwa donda ndugu. Uzunguni kidogo...

DOMO: Kagundua followers sio wapigakura

NA MWANAMIPASHO KUNA kujiamini halafu kuna kujichocha. Nataka kuamini mchekeshaji MC Jessy anajutia ile fursa aliyopewa na Naibu Rais...

Mary Nzula Munyao: Mwigizaji chipukizi anayelenga kumiliki brandi ya filamu miaka 5 ijayo

NA JOHN KIMWERE INGAWA hajapata mashiko kwa viwango anavyotarajia ni mmojawapo wa waigizaji wa kike nchini Kenya wanaopania kutinga upeo...

Edna Talava alenga makuu katika uigizaji

NA JOHN KIMWERE WAHENGA walilonga kuwa penye nia pana njia. Na ndivyo ilivyo tangu zama zile hadi sasa. Methali hii inaonekana kuwa...

DOMO: Hilo zigo lina nini jamani?

NA MWANAMIPASHO HIVI lile zigo la Amber Ray lina nini haswa? Nipo hapa kijiweni napitia picha za sista Insta nikiwaza. Kwenye...