• Nairobi
  • Last Updated June 2nd, 2023 9:28 PM

JUNGU KUU: Ruto atarajie presha kali kutoka kwa Raila

NA WANDERI KAMAU UREJEO wa kiongozi wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga, nchini unatarajiwa kuongeza shinikizo kwa Rais William Ruto...

Mtego wa Azimio ulivyomnasa Ruto

NA BENSON MATHEKA MAZUNGUMZO kuhusu maridhiano yanayohusisha wabunge wa miungano miwili ya kisiasa nchini yameonyesha dalili za kugonga...

KIGODA CHA PWANI: Joho anavyomkweza Mboko kwa kususia hafla za Azimio Pwani

NA PHILIP MUYANGA JE kutokuwepo kwa aliyekuwa gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho katika mikutano ya siasa ya muungano wa Azimio ya hivi...

JUNGU KUU: Mikakati ya Ruto kumfifisha Raila

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto anatekeleza mikakati mahsusi inayolenga kufifisha uasi unaoendeshwa na muungano wa Azimio la...

JAMVI LA SIASA: Gachagua alia ugumu wa ‘kukomboa’ Mlima

NA WANDERI KAMAU WENYEJI wa Mlima Kenya sasa wako kwenye njia panda, baada ya Naibu Rais Rigathi Gachagua kusema kuwa ameanza kupata...

JUNGU KUU: Mipasuko yadhihirika katika Kenya Kwanza

NA BENSON MATHEKA UASI wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya dhidi ya serikali na wito wa kuvunjwa kwa vyama tanzu vya Kenya Kwanza...

MIKIMBIO YA SIASA: Malala atafanikisha ajenda fiche ya Ruto?

NA WANDERI KAMAU JUHUDI za Rais William Ruto kumaliza ushawishi wa vyama tanzu vya kisiasa katika mrengo wa Kenya Kwanza zinaendelea...

JUKWAA WAZI: Mbadi, Ichung’wa wageukiana kuhusu ahadi ‘hewa’ ya Ruto

NA WANDERI KAMAU MNAMO Septemba 2022, Rais William Ruto aliwaahidi Wakenya kwamba angepunguza matumizi ya fedha wizara na idara tofauti za...

JUNGU KUU: Hivi urafiki wa Kenya na China umekatika?

NA WANDERI KAMAU MZOZO ambao umeibuka kuhusu kituo tata cha kibiashara cha China Square kilicho katika Chuo Kikuu cha Kenyatta katika...

JAMVI LA SIASA: ‘Jeshi’ la Uhuru lililobaki Mlimani lafagiliwa lote

NA WANDERI KAMAU WAANDANI wachache wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta waliokuwa wamebaki katika ngome yake ya Mlima Kenya sasa wameanza...

KIGODA CHA PWANI: Kaunti za Pwani zaweza kujikimu bila kutegemea kodi ya bandarini?

NA PHILIP MUYANGA KUSIMAMISHWA kwa juhudi za gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir za kutaka kuongeza mapato ya kifedha ya kaunti kupitia...

JUNGU KUU: CASs: Ruto aiga Uhuru kuwatunuku wandani

NA CHARLES WASONGA SERIKALI itatumia Sh489 milioni zaidi, kila mwaka, kugharamia mishahara ya maafisaa wakuu wa serikali ikiwa Rais...