KIGODA CHA PWANI: Changamoto nyingi zasubiri mawaziri wateule wa Nassir

NA PHILIP MUYANGA HUKU wakitarajiwa kuhojiwa na bunge la kaunti na baadaye kuidhinishwa na kutwaa nafasi zao rasmi, mawaziri wateule wa...

MIKIMBIO YA SIASA: Pigo kwa Azimio Jubilee ikizidi kuzama Mlimani

Na CHARLES WASONGA MUUNGANO wa Azimio la Umoja-One Kenya umepata pigo jingine baada ya wabunge 10 wa Jubilee kutoka Mlima Kenya kuamua...

JUNGU KUU: Kiini cha Ruto kutaka kudhibiti IEBC mpya

NA CHARLES WASONGA KUPITISHWA kwa Mswada wa Marekebisho ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), 2022 katika Seneti Alhamisi sasa...

WALIOBOBEA: Suleiman Shakombo: DC mjanja wa siasa

KWA HISANI YA KENYA YEARBOOK SULEIMAN Rashid Shakombo hakuwa akifahamika kabisa eneo la Likoni kabla ya kujiunga na siasa mwaka wa...

Kahawa sasa yageuka kisiki Mlima Kenya

NA WANDERI KAMAU USIMAMIZI wa mikakati ya kuboresha zao la kahawa katika ukanda wa Mlima Kenya umegeuka kuwa chanzo cha makabiliano makali...

KIGODA CHA PWANI: Ziara ya Raila Mombasa kulinda ngome yake dhidi ya wimbi la KK

NA PHILIP MUYANGA JE ziara ya kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Bw Raila Odinga jijini Mombasa wiki jana ilikuwa ni...

JUNGU KUU: IEBC gae Chebukati, wenzake wakistaafu

NA BENSON MATHEKA KUANZIA Jumanne, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), haitakuwa na makamishna kufuatia kukamilika kwa...

WALIOBOBEA: Sambili: Mwanamke wa kwanza Mtugen kuwa mbunge, waziri

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK MNAMO Desemba 29, 2007 gazeti ya Daily Nation lilikuwa na habari yenye kichwa ‘Uchaguzi wapeleka...

MIKIMBIO YA SIASA: Atwoli sasa aponda Uhuru akijipendekeza kwa Rais Ruto

NA CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa muungano wa wafanyakazi nchini (COTU) Francis Atwoli sasa amemgeuka Rais mstaafu Uhuru Kenyatta...

Sagana I: Gachagua aiga Uhuru

NA WANDERI KAMAU NAIBU Rais Rigathi Gachagua sasa ameanza kufuata nyayo za Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuandaa vikao vya Sagana katika...

JUKWAA WAZI: Seneta Osotsi, Koech wachafuana kuhusu ‘ukweli’ wa Rais Ruto

NA WANDERI KAMAU JE, Rais William Ruto aliwahadaa Wakenya kuhusu ahadi alizotoa kwao wakati wa mahojiano ya pamoja aliyofanyiwa Alhamisi...

MIKIMBIO YA SIASA: Raila ‘aruhusu’ magavana wake kufanya kazi na Ruto

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga amekunja mkia na kuamua kuwapa magavana wake kibali cha kufanya...