• Nairobi
  • Last Updated October 2nd, 2023 11:00 AM

JUNGU KUU: Hivi urafiki wa Kenya na China umekatika?

NA WANDERI KAMAU MZOZO ambao umeibuka kuhusu kituo tata cha kibiashara cha China Square kilicho katika Chuo Kikuu cha Kenyatta katika...

JAMVI LA SIASA: ‘Jeshi’ la Uhuru lililobaki Mlimani lafagiliwa lote

NA WANDERI KAMAU WAANDANI wachache wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta waliokuwa wamebaki katika ngome yake ya Mlima Kenya sasa wameanza...

KIGODA CHA PWANI: Kaunti za Pwani zaweza kujikimu bila kutegemea kodi ya bandarini?

NA PHILIP MUYANGA KUSIMAMISHWA kwa juhudi za gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir za kutaka kuongeza mapato ya kifedha ya kaunti kupitia...

JUNGU KUU: CASs: Ruto aiga Uhuru kuwatunuku wandani

NA CHARLES WASONGA SERIKALI itatumia Sh489 milioni zaidi, kila mwaka, kugharamia mishahara ya maafisaa wakuu wa serikali ikiwa Rais...

WALIOBOBEA: Pandashuka, mafanikio ya Kenyatta katika siasa

KWA HISANI YA KENYA YEARBOOK KATIKA uchaguzi mkuu wa 1997, Uhuru aligombea kitu cha eneo bunge la Gatundu Kusini kwa tikiti ya chama cha...

MIKIMBIO YA SIASA: Mchujo ndicho kiini cha mipasuko katika ODM

NA CHARLES WASONGA IMEBAINIKA kuwa usimamizi mbaya wa mchujo wa ODM kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022 ni mojawapo sababu kuu...

JAMVI LA SIASA: Hii ndiyo hatari ya Rais Ruto kuandama Uhuru

NA BENSON MATHEKA TANGU ufichuzi wa kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga kwamba huenda alishinda urais katika uchaguzi mkuu...

JUNGU KUU: Ubabe wa Machogu na Matiang’i u wazi Gusii

NA WANDERI KAMAU IMEBAINIKA kuwa moja ya kiini cha ‘masaibu’ ya kisiasa yanayomwandama aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt...

WALIOBOBEA: Uhuru alipewa jina hilo na Mwai Kibaki

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK ALIPOZALIWA mwana wa Ngina Muhoho na Mzee Jomo Kenyatta miaka ya mwisho ya ukoloni Oktoba 1961, ni Mwai...

KIGODA CHA PWANI: MCAs wawe huru kuwahoji mawaziri wateule wa Nassir

NA PHILIP MUYANGA BAADA ya Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir kuteua baraza lake la mawaziri mwezi uliopita kumekuwa na...

JUNGU KUU: Vita vya Uhuru na Ruto kufaidi Raila

NA CHARLES WASONGA VITA vipya vilivyochipuza kati ya Rais William Ruto na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta huenda vikamfaidi kiongozi wa...

Ruto anavyomfufua Uhuru kisiasa

NA WANDERI KAMAU HATUA ya serikali ya Rais William Ruto kumpunguzia walinzi Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na baadhi ya waliokuwa mawaziri...