• Nairobi
  • Last Updated May 21st, 2024 8:55 PM

Gachagua alivyomshushia Nyoro makombora siku ya mwisho ziara ya Rais Mlimani

STEPHEN MUNYIRI NA LABAAN SHABAAN MAKABILIANO ya ubabe kati ya Naibu Rais Rigathi Gachagua na Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro yanaendelea...

Pesa, madai ya usaliti yanavyochongea ukuruba wa magavana na maseneta kuyeyuka

NA WAANDISHI WETU UKURUBA mkubwa wa kisiasa uliokuwepo baina ya magavana na maeneta wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2022 katika...

MIKIMBIO YA SIASA: Sukari ya Magharibi kiazi moto kwa Ruto

NA CHARLES WASONGA MPANGO wa serikali wa kufufua sekta ya sukari Magharibi mwa Kenya ambao Rais William Ruto alitaraji kuutumia...

PK Salasya: Kwake kila hafla ni shajara ya vitimbi

NA WANDERI KAMAU ALIPOCHAGULIWA kama mbunge na wakazi wa eneobunge la Mumias Mashariki, hilo lilionekana kuwa mwanzo mpya wa kisiasa kwa...

Rais Ruto aonya wanaotaka kuzima nyota yake

NA MWANGI MUIRURI RAIS William Ruto mnamo Jumatano amelia kwamba baadhi ya mabwanyenye almaarufu 'masonko' nchini, wameungana kuzima...

Kivuli cha Uhuru kilivyo tishio kwa Gachagua Mlima Kenya

NA MOSES NYAMORI MKONO wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kwenye harakati za kisiasa zinazoendelea katika eneo la Mlima Kenya, unatishia...

Kiini cha hasira za Ruto kwa majaji

NA LABAAN SHABAAN PINDI aliponyanyua upanga wa mamlaka na kushika hatamu za uongozi wa taifa mnamo Septemba 13, 2022, Rais William Ruto...

Ruto hajakita mizizi kisawasawa serikalini – Joe Nyutu

NA MWANGI MUIRURI SENETA wa Murang’a Joe Nyutu amedadisi kwamba shida nyingi za serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na Rais William...

Raila ataka Ruto ‘ashuke’ naye akiwekewa presha

NA WANDERI KAMAU SHINIKIZO zinaendelea kumzidia kiongozi wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga, kumtaja mrithi wake ielekeapo 2027, baada...

Arati kwenye kinywa cha mamba Naibu wake akiungana na mahasimu

NA WYCLIFFE NYABERI Huenda msimamo mgumu wa Gavana wa Kisii Simba Arati wa kutowalipa wanakandarasi mabilioni ya pesa wanayodai serikali...

Jinsi Uhuru anavyolenga kupangua mahesabu ya Ruto

Na CHARLES WASONGA HUENDA Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta akaendelea kushawishi siasa za nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, na kugeuka...

NDIVYO SIVYO: ‘Kupiga maji’ si sawa na kufyatua choo kichafu

Na ENOCK NYARIKI KWENYE msala mmojawapo katika makazi ya wafanyakazi wa shirika la kibinafsi, yameandikwa maneno yafuatayo: “Tafadhali...