NA BENSON MATHEKA INGAWA Rais William Ruto anasemekana kukanusha kwamba ananuia kubadilisha katiba ili kuongeza muhula wake wa kuhudumu...
NA CHARLES WASONGA MGAWANYIKO miongoni mwa wabunge kutoka jamii ya Waluhya (Mulembe) ulimkosesha aliyekuwa mbunge wa Shinyalu, Bw Justus...
NA WANDERI KAMAU MASWALI yameibuka kuhusu iwapo Rais William Ruto ameanza kupoteza usemi wake katika ukanda wa Mlima Kenya, baada ya...
NA PHILIP MUYANGA SUALA la umoja wa wanasiasa wa Pwani limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu, hususan kabla ya uchaguzi wowote mkuu ili...
KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK SAMUEL Losuron Poghisio alijiunga na Baraza la Mawaziri mnamo 2008, katika muhula wa pili wa Rais Mwai...
NA MWANDISHI WETU JE, kupendekezwa kwa aliyekuwa muwaniaji wa kiti cha ugavana wa Mombasa, Hassan Omar na mfanyabiashara Suleiman...
NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto sasa anapania kuwapa mtangulizi wake Uhuru Kenyatta na kiongozi wa Azimio Raila Odinga, kichapo...
NA CHARLES WASONGA UKOSEFU wa uongozi thabiti ndani na nje ya bunge ndio chimbuko la misukosuko inayotishia kusambaratisha muungano wa...
NA WANDERI KAMAU IMEIBUKA kuwa dalili za mrengo wa Kenya Kwanza kupanga mageuzi ya Katiba ili kumwezesha Rais William Ruto kuendelea...
NA WANDERI KAMAU WANASIASA na maafisa wakuu serikalini waliokuwa na ukaribu na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, sasa wameanza rasmi maisha...
NA BENSON MATHEKA VITA vya ubabe kati ya Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka na Mwenyekiti wa chama cha United Democratic...
NA WANDERI KAMAU JE, viongozi wa Kenya Kwanza wamemwomba kiongozi wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga, usaidizi wowote kuiendesha...