NA CHRIS ADUNGO PHYLIS Kemunto ni miongoni mwa wasanii wa humu nchini wanaoinukia vyema na kwa kasi katika tasnia ya muziki. Upekee wake...
NA CHRIS ADUNGO MWALIMU anastahili kuwa mwepesi wa kumhimiza mwanafunzi kujitahidi katika safari ya elimu. Awe karibu na wanafunzi...
NA RICHARD MAOSI ANNABEL Mideva atawakilisha Kenya katika michuano ya kimataifa ya mchezo wa sataranji mnamo Aprili 13, 2023 katika...
NA CHRIS ADUNGO WANAFUNZI wanahitaji mazoezi mengi iwezekanavyo ili wajiamini katika usomaji na ujifunzaji wa dhana mpya. Njia rahisi ya...
NA PATRICK KILAVUKA MATHEW Joshua, 15, alivutiwa na jinsi ala ya muziki wa kiasili Urutu (zeze) ilivyokuwa ikichezwa kwa namna ya kuifanya...
NA WALLAH BIN WALLAH KINOLEWACHO hupata. Na kikipata hukata! Hivyo ndivyo wasemavyo wataalamu wanaoamini na kuthamini kwamba ukitaka...
NA CHRIS ADUNGO ZAIDI ya kutoa fursa kwa washiriki kujadili kwa jicho la kiuhakiki nafasi ya Kiswahili katika uchumi wa kijani, Kongamano...
NA WALLAH BIN WALLAH WEMA haununuliwi dukani wala hauchuuzwi sokoni. Wema hutokana na hulka na utu wa mtu mwenyewe. Mtu akiamua...
NA CHRIS ADUNGO UANAHABARI ni taaluma ambayo Selly ‘Kadot’ Amutabi alianza kuvutiwa nayo katika umri mdogo. Alianza safari ya elimu...
NA PATRICK KILAVUKA USIJE ukadunishwa na yeyote unapofanya kitu au kuwa mwoga. Kuwa mkakamavu na usiyekata tamaa! Isitoshe, maneno ya...
NA WALLAH BIN WALLAH KWA hakika tunakubaliana sana na mafunzo ya kidini yasemayo kwamba umpende jirani kama unavyojipenda wewe...
MWANDISHI ametumia mbinu anuai katika hadithi Fupi Mapambazuko. Naomba tudondoe kadhaa zifuatazo: Majazi - majina yaliyotumiwa...