• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 10:10 AM

Prof Katana awataka walimu kutowatwika wazazi lawama zote za moto shuleni

NA MAUREEN ONGALA ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bodi ya Elimu ya Kaunti ya Kilifi Gabriel Katana amewataka wasimamizi wa shule za upili...

Watanzania walemea Wakenya katika tuzo za Fasihi

NA WANDERI KAMAU WATANZANIA waling’aa kwenye mashindano ya 2023 ya Tuzo ya Fasihi ya Safal-Cornell, kwa kuibuka washindi kwenye vitengo...

Neno ‘baadhi’ lisitumiwe kurejelea kitu kimoja miongoni mwa vingi

NA ENOCK NYARIKI NINADHANI vyombo vya habari vilikuwa vikiarifu jinsi baadhi ya maafisa wa kaunti walivyotumia mgao wa fedha za kaunti kwa...

NGUVU ZA HOJA: Tafsiri na ukalimani zijumuishwe katika mtaala wa shule za upili

NA PROFESA JOHN KOBIA UTEKELEZAJI wa mtaala wa Umilisi katika mfumo wa elimu unaendelea ingawa kuna changamoto nyingi. Wanafunzi wa...

Wanafunzi 25 waliokosa KCPE kujiunga na shule za upili

NA GEORGE ODIWUOR WANAFUNZI 25 waliokosa kufanya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nane (KCPE 2023) katika eneobunge la Homa Bay...

Wito wanafunzi wa vyuo vikuu wasitengwe na serikali, wafadhili

NA ALEX KALAMA WADAU katika sekta ya elimu kaunti ya Kilifi, wameitaka serikali na mashirika ya kijamii kutenga na kuelekeza fedha zaidi...

Mwanafunzi wa sanduku tupu aliyezoa B+ apata mfadhili

NA GEORGE ODIWUOR LEVIS Otieno aligonga vichwa vya habari mwaka 2020 aliporipoti katika Shule ya Upili ya Kanga, kaunti ya Migori...

Viongozi wapamba mikutano ya basari kwa burudani wakiishia kuwapa wanufaika Sh3,000

NA MWANGI MUIRURI VISA vya wanasiasa kutumia pesa nyingi kurembesha mikutano ya kusambaza basari halafu kuishia kuwagawia watoto...

Kinaya cha elimu ‘msawazishaji’ kupalilia umaskini

NA MWANGI MUIRURI NI msimu mwingine wa wazazi kuwapeleka watoto wao shuleni. Huu ni msimu ambao umegeuka kuwa kiini cha mahangaiko...

Sababu za ‘E’ kujaa Pwani

NA WINNIE ATIENO WALIMU wakuu kutoka ukanda wa Pwani wamehusisha matokeo duni kwenye Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) na...

NDIVYO SIVYO: Neno ‘lau’ katu halina maana ya ‘mfano wa’

NA ENOCK NYARIKI AGHALABU, nilikumbana na kauli hii katika insha za wanafunzi nilipokuwa nikifunza shule ya msingi:*Nilikula chakula...

Shule yalia matokeo licha ya kuwika Kilifi

NA MAUREEN ONGALA SHULE ya upili ya wavulana ya Arabuko Forest iliyo Kaunti ya Kilifi, imetilia shaka matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa...