• Nairobi
  • Last Updated December 4th, 2023 8:09 PM

Ifahamu ngoma maalumu ya kujivunia ubikira wa wanawake wa Uswahilini

NA KALUME KAZUNGU KWA miaka mingi ngoma imesalia kuwa njia mwafaka ya waja kuhifadhi utamaduni. Ni kupitia ngoma ambapo jamii nyingi...

Fahamu chimbuko la Kiunga, mji wa Lamu Mashariki wenye historia ya zaidi ya miaka 1,000

NA KALUME KAZUNGU KWA anayeifahamu Lamu, Kiunga ni miongoni mwa miji maarufu ya jadi na ya asili inayotambulika hasa kwa shughuli za...

GWIJI WA WIKI: Dkt Timothy Kinoti

NA CHRIS ADUNGO TIMOTHY Kinoti M’Ngaruthi alizaliwa mnamo 1967 katika kijiji cha Kanthungu, Ruiri, Kaunti ya Meru. Ndiye kitinda mimba...

Shule yapata darubini, vifaa vingine sayansi ikigeuzwa ‘somo mswaki’

NA MAUREEN ONGALA SHULE ya Upili ya The Great Vonwald katika eneobunge la Kilifi Kaskazini inalenga kuwa kituo cha kutoa elimu ya...

Siku ya Kiswahili Duniani yaadhimishwa kwa njia ya kipekee Lamu

NA KALUME KAZUNGU SIKU ya Kiswahili Duniani imeadhimishwa kwa njia ya kipekee kisiwani Lamu ambapo wataalamu wa lugha hiyo, malenga,...

SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: Sherehe kufana miji ya ndani na nje ya Kenya

Na CHRIS ADUNGO KILELE cha maadhimisho ya pili ya Siku ya Kiswahili Duniani (SIKIDU) kitashuhudiwa leo Ijumaa jijini Nairobi na Mombasa,...

Elimu ilivyochangia katika ustawi wa nchi tangu 1963

NA DAVID ADUDA KENYA ilipopata uhuru mwaka wa 1963, serikali ililenga kupambana na mambo matatu yakiwemo umaskini, ujinga na...

NiE: Mkataba wa NMG na KIWASCO unavyopiga jeki elimu Kisumu

NA CHRIS ADUNGO KAMPUNI ya kusambaza maji na kushughulikia usafi ya kule Kisumu, KIWASCO ilishirikiana na shirika la Nation Media Group...

GWIJI WA WIKI: Phylis Kemunto

NA CHRIS ADUNGO PHYLIS Kemunto ni miongoni mwa wasanii wa humu nchini wanaoinukia vyema na kwa kasi katika tasnia ya muziki. Upekee wake...

MWALIMU WA WIKI: Mwanateknolojia na mwalimu mfia lugha

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU anastahili kuwa mwepesi wa kumhimiza mwanafunzi kujitahidi katika safari ya elimu. Awe karibu na wanafunzi...

Gwiji wa sataranji

NA RICHARD MAOSI ANNABEL Mideva atawakilisha Kenya katika michuano ya kimataifa ya mchezo wa sataranji mnamo Aprili 13, 2023 katika...

Mwalimu mbunifu katika ufundishaji

NA CHRIS ADUNGO WANAFUNZI wanahitaji mazoezi mengi iwezekanavyo ili wajiamini katika usomaji na ujifunzaji wa dhana mpya. Njia rahisi ya...