Na CHRIS ADUNGO KISWAHILI ni miongoni mwa lugha kuu za Kiafrika zinazozungumzwa na idadi kubwa zaidi ya watu duniani. Sensa ya Canada ya...
JUMA hili tuangalie mtiririko wa matukio katika Sehemu I, Onyesho III. Hapa ni nyumbani kwa Sara, jikoni. Mandhari huonyesha mahali. Dina...
Na CHRIS ADUNGO MWALIMU bora ni rafiki wa wanafunzi wote anaowafundisha. Kutokana na ukaribu wao, wanafunzi huwa radhi kabisa kumweleza...
NA ENOCK NYARIKI GIZA la kaniki lilitanda kote katika shule ya wavulana ya Jitahidi. Sauti pekee zilizosikika japo kwa aliyepita nje ya...
NA RICHARD MAOSI MAFUNZO ya namna ya kucheza piano huendeshwa hatua kwa hatua kwa sababu kila kibonye cha kibodi hutoa sauti tofauti. Kwa...
NA PROF CLARA MOMANYI KARNE chache zilizopita, Kiswahili kilichukuliwa kama lugha ya watu wa chini kijamii. Kilichukuliwa kama lugha...
NA CHRIS ADUNGO MWALIMU mwenye wito wa kufundisha na mapenzi ya dhati kwa taaluma yake, ana jukumu zito la kuchochea wanafunzi wake...
NA WYCLIFFE NYABERI WIKI tatu zilizopita, pacha wawili wasichana waliteka hisia za waombolezaji katika ibada ya mazishi ya mamake...
NA ENOCK NYARIKI JIONI watalii na waelekezi wao walirejea vilipokuwa vyumba vya kupanga. Juma, mkuu wa Idara ya Parachuti, aliondoka...
Na MAGDALENE WANJA HATA kabla ya kufuzu katika Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU) mnamo mwaka 2016, Jared Mwanduka tayari alikuwa amevumbua...
NA PROF JOHN KOBIA WANAFUNZI wa gredi ya saba wanatarajiwa kuanza masomo yao ya sekondari ya awali Jumatatu wiki ijayo. Hawa ni...
JUMA hili tutashughulikia namna wahusika mbalimbali katika riwaya ya ‘Chozi la Heri’ walivyotamauka. Ridhaa anatamauka kufuatia...