NA PATRICK KILAVUKA KUWA ngoi wa nyimbo na kusakata densi ni mambo ambayo alikuwa anayachochea tangu akiwa mdogo. Hususan wakati...
Na CHRIS ADUNGO UKIITIKIA wito wa kuwa mwalimu, basi fahamu kuwa taifa lote la kesho linakutazamia. Jamii nzima huwa imekuamini na...
NA ENOCK NYARIKI JANJA alikunja uso kama aliyehisi kitefutefu kisha akagogomoka kana kwamba alitaka kutapika. Janis, alimshukuru...
Na CHRIS ADUNGO CATHERINE Kanini Muthini almaarufu Catherine Kay ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili wanaotumia Kiswahili kueneza...
Na CHRIS ADUNGO ZAIDI ya kufahamu uwezo wa kila mwanafunzi katika masomo mbalimbali, mwalimu anapaswa kuwa rafiki wa karibu wa...
NA WALLAH BIN WALLAH MAISHA ya mwanadamu ni kama maji ya mto ambayo daima yanafuata mkondo na kuteremka kwenye mabonde kuelekea baharini...
NA ENOCK NYARIKI JANJA alikuwa amepita na kupituka takribani pembe zote za mji wa Leondani. Siku hiyo alivuka mtaro uliosomba uchafu...
NA HENRY MOKUA KILA shule inapojitahidi kuimarisha matokeo ya wanafunzi wayo masomoni hasa wakati huu wa mitihani ya kitaifa, nyingi...
NA ENOCK NYARIKI MARA nyingi, watu hujikuta wakilitumia neno ‘angalau’ katika muktadha wa ‘ingawa’ au ‘aghalabu’. Maumbo...
NA PROF CLARA MOMANYI FASIHI ni njia moja ya kuendeleza utamaduni wa jamii ambao pia ni ujumla wa maisha ya jamii hiyo. Kupitia kwa...
NA PROF IRIBE MWANGI JUMA lililopita Chuo Kikuu cha Nairobi kiliadhimisha Siku ya Wanafunzi wa Kigeni. Chuo kina wanafunzi wa kigeni...
NA CHRIS ADUNGO MATUMIZI ya nyimbo darasani hufanya wanafunzi kuelewa mambo haraka, huwaamshia hamu ya kujifunza dhana mpya na huwafanya...