• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 3:23 PM

GWIJI WA WIKI: Laura Rua

NA CHRIS ADUNGO JAPO Laura Nyamvula Rua ni mwanahabari kitaaluma, kinachompa riziki ya kila siku kwa sasa ni fani ya uanamitindo, fasheni...

NGUVU ZA HOJA: Nina matumaini matumizi ya Kiswahili katika Seneti yataendelea kushika kasi

NA PROF IRIBE MWANGI MAPEMA juma hili, nilimsikia Naibu Spika wa Seneti Mhe Kathuri Murungi akizungumza kuhusu matumizi ya Kiswahili...

NGUVU ZA HOJA: Kabianga kuwa mwenyeji wa Kongamano la 21 la Kimataifa la CHAKITA

NA PROF JOHN KOBIA MOJAWAPO ya masuala yanayoathiri dunia kwa sasa ni mabadiliko ya tabianchi. Kwa hakika mojawapo ya malengo ya...

MIZANI YA HOJA: Mafanikio katika maisha ni zao la jitihada za kila siku bila kukata tamaa

NA WALLAH BIN WALLAH KOSA kubwa ambalo usifanye maishani ni kukata tamaa! Mafanikio hayaji ghafla kama mwangaza wa umeme...

HADITHI FUPI: Usawiri wa wahusika katika hadithi ‘Sabina’

LEO baadhi ya wahusika katika hadithi fupi ya Sabina iliyotungwa na Winnie Nyaruri Ogenche. WAHUSIKA Sabina Manoti, Nyaboke, Ombati,...

MWALIMU WA WIKI: Mwalimu Simiyu ni dawa mujarabu

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU bora anastahili kuwa mwajibikaji na mwepesi wa kuelekeza wanafunzi kimaadili huku akichangamkia vilivyo masuala...

TALANTA YANGU: Ngoi na msakata densi

NA PATRICK KILAVUKA KUWA ngoi wa nyimbo na kusakata densi ni mambo ambayo alikuwa anayachochea tangu akiwa mdogo. Hususan wakati...

MWALIMU WA WIKI: Mwalimu mbunifu katika ufundishaji

Na CHRIS ADUNGO UKIITIKIA wito wa kuwa mwalimu, basi fahamu kuwa taifa lote la kesho linakutazamia. Jamii nzima huwa imekuamini na...

Nzi kufa kidondani si haramu (sehemu ya 3)

NA ENOCK NYARIKI JANJA alikunja uso kama aliyehisi kitefutefu kisha akagogomoka kana kwamba alitaka kutapika. Janis, alimshukuru...

GWIJI WA WIKI: Catherine Kay

Na CHRIS ADUNGO CATHERINE Kanini Muthini almaarufu Catherine Kay ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili wanaotumia Kiswahili kueneza...

MWALIMU WA WIKI: Ni mwalimu na mwandishi ibuka

Na CHRIS ADUNGO ZAIDI ya kufahamu uwezo wa kila mwanafunzi katika masomo mbalimbali, mwalimu anapaswa kuwa rafiki wa karibu wa...

MIZANI YA HOJA: Ukitaka kufanikiwa maishani shirikiana na watu wa mawazo na malengo sawa na yako

NA WALLAH BIN WALLAH MAISHA ya mwanadamu ni kama maji ya mto ambayo daima yanafuata mkondo na kuteremka kwenye mabonde kuelekea baharini...