• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 7:50 AM

Masharti ya Agikuyu kumkubali Gachagua kuwa msemaji wao

NA MWANGI MUIRURI  NAIBU Rais Rigathi Gachagua amekuwa akitatizika kuafikia lengo lake la kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya licha ya...

Muziki: Wito kizazi cha sasa Kenya kiige kina Nameless, Jua Cali

NA WANDERI KAMAU KATIKA miaka ya 2000, Kenya ilisifika pakubwa kutokana na muziki wake wa kizazi kipya wakati huo, uliojulikana kama...

Vifo vya mapema vya Maceleb Kenya vilivyoshtua

NA SINDA MATIKO IJAPO mwaka ungali mchanga, tayari vimetokea vifo kadhaa vya ghafla vya mastaa vilivyowaacha Wakenya wengi na...

Mui huwa mwema: Waraibu wa zamani wapigana na pombe ‘ile mbaya’

TITUS OMINDE Na GABRIEL KUDAKA KUNDI linalowaleta pamoja waliokuwa watengenezaji wa pombe na wanywaji walioasi ulevi katika eneo la...

Pasaka yakutana na Ramadhani Pwani

NA ANTHONY KITIMO WAKRISTU wiki ijayo wanasherekea sikukuu ya Pasaka, wakati ambao wengi hupenda kusafiri hadi Kaunti ya Mombasa...

Ramadhani: Wakristo wafurahia chajio kinachouzwa mitaani kama futari

NA KALUME KAZUNGU VYAKULA vya kipekee vinavyotandazwa na kuuzwa mabarazani, vichochoroni na vishorobani mwa mji wa kale wa Lamu kila jioni...

Marehemu Chongin Kale kukumbukwa kwa kuigiza jenezani

NA MWANGI MUIRURI MCHESHI Nicholas Rotich almaarufu Chongin Kale aliyefahamika vyema kupitia mzaha wake akilala ndani ya jeneza,...

Naibu Gavana wa Lamu afichua siri ya kusalia mtiifu kwa Timamy

NA KALUME KAZUNGU USHIRIKIANO mzuri wa kikazi kati ya Gavana wa Lamu Issa Abdalla Timamy na Naibu Gavana Raphael Munyua Ndung’u,...

Cha kufanya kupata pesa ambazo Meta imetangaza

NA WANDERI KAMAU ILI wapakiaji maudhui nchini Kenya wanaotumia mitandao ya Facebook na Instagram inayomilikiwa na Meta kuanza kulipwa...

Gachagua afichua alikuwa akibugia pombe kreti nzima

NA MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua amesimulia jinsi alivyokuwa amezama kwa pombe kiasi kwamba alikuwa akibugia kati ya chupa...

Gachagua: Sisi ni wa nani?

NA MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua mnamo Jumatano alisema kwamba wakulima wa kahawa wa Mlima Kenya wanafaa pia kusamehewa...

Mfumo wa ‘paper mulching’ kuboresha kilimo maeneo kame

NA SAMMY WAWERU TEKNOLOJIA ya mtandazo (mulching) imekuwepo tangu jadi, inayojulikana ikiwa ni matumizi ya nyasi kuzuia uvukizi wa...