• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Wakenya wachongoana mitandaoni wakisherehekea ‘April Fool’s Day’

NA WANDERI KAMAU KILA mwaka, Wakenya huungana na dunia nzima kusherehekea Siku ya Kupumbazana (April Fool’s Day), ambayo huadhimishwa...

Sura mpya ya Uhuru Park

NA WANDERI KAMAU MWONEKANO mpya wa bustani la Uhuru Park umezua msisimko wa aina yake miongoni mwa wakazi wa jiji la Nairobi na Wakenya...

Utasukumwa jela kwa kukosa kumeza dawa kwa mujibu wa maelezo ya daktari

NA BENSON MATHEKA UNAJUA kwamba unaweza kufungwa jela kwa kukosa kumeza dawa unavyoagizwa na daktari? Unajua kukosa kuzitumia ipasavyo...

Muigizaji Omosh aeneza injili ya ukombozi baada ya kuacha pombe

NA WANDERI KAMAU MNAMO Februari 2021, mwigizaji Joseph Kinuthia, maarufu kama ‘Omosh’, alishangaza Wakenya wengi, alipobubujikwa na...

Mama wa miaka 55 afichua siri kudumisha nywele za rasta

NA MWANGI MUIRURI MAMA wa miaka 55 kutoka Kaunti ya Nairobi ambaye amefuga rasta kwa miaka 15 hadi sasa anasema nywele hizo huhitaji...

Kinaya mafuriko yakitatiza jiji licha ya mikakati kuzuia athari

NA WANDERI KAMAU MNAMO Septemba mwaka uliopita, Gavana Johnson Sakaja wa Nairobi alizindua mipango kabambe ya kulitayarisha jiji dhidi...

Umuhimu wa kujiandikia kiapo cha ndoa  

NA BENSON MATHEKA BAADA ya kuvishwa pete, Leah Ambani, aliomba maikrofoni, akachukua karatasi iliyopigwa chapa kutoka kwa msaidizi wake,...

Maono yanavyosaidia kukabiliana na changamoto katika biashara

NA BENSON MATHEKA Ikiwa hauna maono, usiharibu pesa zako kuanzisha biashara kwa kuwa hautafaulu hata kama umeisomea. Na ukiwa na...

Presha za Joe Nyutu Murang’a iimarike

NA MWANGI MUIRURI PRESHA za Seneta Joe Nyutu wa Murang'a kwa serikali ya kitaifa na kaunti zimeishia kuzaa matunda kemkem ya kimaendeleo...

Mikakati ya kuzima wanafunzi wanaotumia ChatGPT kufanya udanganyifu

NA WANDERI KAMAU KATIKA ulimwengu wa sasa ambapo mpenyo wa teknolojia unaendelea kushika kasi, wahadhiri katika vyuo vikuu tofauti nchini...

Hofu kuzaana kuongeza kura kutaangusha Mlima Kenya

NA MWANGI MUIRURI KINAYA kimezuka katika eneo la Mlima Kenya ambapo wanasiasa wamezindua mchakato wa kuwataka wenyeji wazaane kwa wingi...

Wanaume waunguziwa chakula na wake watazamaji wa vipindi

NA FRIDAH OKACHI BAADHI ya wanaume sasa wanalalamika kwamba wake wao wanawapikia na kuwapakulia chakula kilichoungua kwa sababu ya...