• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 10:55 AM

MALEZI: Jinsi dijitali inaweza kukuza talanta ya mtoto wako

Na BENSON MATHEKA NI jukumu la mzazi kusaidia watoto wake kutumia dijitali kukuza talanta zao. Kulingana na mtaalamu wa malezi dijitali ,...

Kimya cha mke ni hatari katika mahusiano

NA WINNIE ONYANDO KIMYA cha mwanamke katika mahusiano yoyote ya kimapenzi kina nguvu na uwezo wa kusambaratisha mahusiano hayo. Kama...

Faida za ndimu si jikoni pekee bali hata kwa urembo

NA PAULINE ONGAJI NDIMU hutumika hasa jikoni kwa mapishi na hata usafi. Lakini je, wajua kwamba hata katika masuala ya urembo na...

Siri ya kuwa na furaha maishani

NA WANDERI KAMAU KATIKA nyakati hizi ambapo Wakenya wengi wanapitia hali ngumu kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha, aliyekuwa...

Vijana wa kiume watekwa na mashugamami

NA BENSON MATHEKA IMEFICHUKA kwamba vijana wa kiume hujisalimisha kwa wawindaji wa mahaba kutokana na tamaa, umaskini na hali ngumu...

Wanawake Lamu wadai ladha ya ndoa ni ‘kuwakalia chapati’ waume

NA KALUME KAZUNGU WANAWAKE katika Kaunti ya Lamu wametoa ushauri kwa wanaume wanaotawaliwa na kasumba ya taasubi ya kiume na kuwaambia...

Ndoa ikikataa imekataa, Akothee ashauri wanawake

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Esther Akoth Kokeyo almaarufu Akothee, amewashauri wanawake dhidi ya kusalia kwenye ndoa ambazo huwa tayari...

Mabibi waingiwa na wasiwasi waume wakienda kunyolewa

NA WANDERI KAMAU KWA kawaida, huwa haimchukui mtu muda mrefu kunyolewa katika duka la kinyozi. Ikizingatiwa kuwa huwa kuna wateja wengi...

Kundi la ufundi wa chumbani lashangaza wanaume

NA MWANGI MUIRURI KULIZUKA kizaazaa katika ukumbi mmoja mjini Nyeri wakati wanaume kadhaa waliuvamia wakilaani hatua ya shirika moja...

Martha ashauri wanawake kuepuka ndoa zilizo na dalili za fujo

NA MWANGI MUIRURI SAFARI ya mwanamitindo Martha Wanjiku,23, katika ndoa haikudumu kwa sababu ilikaa mwaka mmoja tu kati ya 2021 na 2022 na...

Wajakazi wafananisha kuosha nguo za ndani za mabosi na ‘uchawi mamboleo’

NA FRIDAH OKACHI BAADHI ya wajakazi jijini Nairobi wametoa malalamishi kwamba mabosi wao huwafanyia 'uchawi mamboleo' kwa kuwapa mavazi...

Mtaalamu atoa vidokezo muhimu kuhusu salamu za ma-ex

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa kufokafoka kutoka mtaa wa Kibra Stephen Otieno Adera almaarufu 'Stivo Simple Boy' alikataa kumsalimia...