• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

PENZI LA KIJANJA: Tahadhari mapenzi ya mtandaoni yasikuletee majuto

NA BENSON MATHEKA MAPENZI ya mtandaoni yamechacha siku hizi. Watu wanatafuta wapenzi wa kuwaondolea upweke kwenye mitandao ya...

AMINI USIAMINI: Kasuku kwa jina Kea hula kondoo

NA MWORIA MUCHINA KASUKU kwa jina Kea, wanapatikana kwa wingi nchini New Zealand. Kasuku hawa wa rangi ya kijani zamani walipenda...

AMINI USIAMINI: Samaki anayewinda kwa kutema maji kama risasi

NA MWORIA MUCHINA SAMAKI kwa jina archer, huwinda wadudu na viumbe wengine wadogo kwa kutema maji kutoka kwa midomo yao kama...

Mume wangu na meidi wanatumiana SMS za siri

SHANGAZI AKUJIBU: Ninashuku mfanyakazi wangu wa nyumbani ana uhusiano na mume wangu. Nimekagua simu yake na kugundua wamekuwa...

BAHARI YA MAPENZI: Ndoa huyumba pale mume na mke wote ni vichwa ngumu

NA BENSON MATHEKA NI kawaida ya tofauti kuzuka baina ya wanandoa. Hii hutokea hata kwa wale ambao wamekuwa kwa ndoa kwa miaka...

Lojing’i ya Nakuru ambayo haina walevi wala makahaba

NA DILIGENCE ODONGO VYUMBA vya malazi vya gesti na vinginevyo vya kustarehe vinachukuliwa kama ngome za kuendeleza uasherati. Hata hivyo,...

PENZI LA KIJANJA: Chali akikuvunja moyo mteme mara moja, la sivyo utajuta!

NA BENSON MATHEKA VIDOSHO, komeni kukwamilia machali wanaowavunja moyo na kuwatesa kwa tabia zao chwara. Kwa nini ujisononeshe...

Karen Nyamu: Ninaomba Mungu abadili ajenda ‘mume wangu’ Samidoh na Edday warudiane 

NA SAMMY WAWERU SENETA maalum Karen Nyamu amesema ombi lake limekuwa ni kuona ‘mumewe’ Samuel Muchoki almaarufu ‘Samidoh’ na...

Pasta Ezekiel alivyodai wasanii wa Bongo Flava hawana ‘nyota’ ya ndoa

NA WINNIE ONYANDO MHUBIRI Ezekiel Odero, wakati wa mahubiri yake yaliyopeperushwa, aliwahi kudai kuwa baadhi ya wanamuziki wa Bongo Flava...

AMINI USIAMINI: Antpitta ni ndege mwenye soni akimwangalia binadamu

NA MWORIA MUCHINA NDEGE wadogo na wenye haya ya kutangamana na watu na wanaoitwa 'Antpittas', hutegemea siafu kama chakula...

AMINI USIAMINI: Kuna nyoka mwenye pua kama pembe ya kifaru

NA MWORIA MUCHINA NYOKA anayeitwa ‘Vietnamese Long-Nosed Snake’, ambaye jina lake la kisayansi ni Gonyosoma boulengeri, ana pua...

Ulanguzi wa dawa za kulevya ulifanya mzungu kunitema

NA KALUME KAZUNGU MUDHAFAR Yusuf Musa ni mwenye majonzi tele kila anapotafakari jinsi miaka 10 ya ulanguzi wa dawa za kulevya aina ya...