• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:58 PM

AMINI USIAMINI: Kakakuona humeza mawe iwe rahisi chakula kusagika

NA MWORIA MUCHINA KAKAKUONA (Pangolin) ndiye mnyama wa pekee duniani ambaye ngozi yake ina magamba kama ngozi ya nyoka. Hula mchwa na...

AMINI USIAMINI: Utatozwa faini ya Sh40,000 ukimgusa Quokka

NA MWORIA MUCHINA QUOKKA, ambaye kwa jina la kisayansi ni Setonix brachyurus, ni mnyama mdogo anayefanana na kangaroo. Quokka...

AMINI USIAMINI: Pacu ni samaki mwenye meno kama ya binadamu

NA MWORIA MUCHINA SAMAKI kwa jina pacu ana meno kama ya binadamu. Sura hii huwafanya wakae wa kuogofya ingawa ni watulivu. Hula...

AMINI USIAMINI: Wapo wadudu wanaotumia kinyesi cha ndovu, nyati kutengeneza mipira

NA MWORIA MUCHINA WADUDU waitwao 'dung beetle' au Scarabaeus satyrus kwa jina la Kisayansi, hutengeneza mipira wakitumia kinyesi cha...

AMINI USIAMINI: Kuna buibui wanaoweza kumla ndege

NA MWORIA MUCHINA BUIBUI wanaofahamika kama Bird-eating spiders ambao jina la kisayansi ni Theraphosa blondi huwa wakubwa sana...

AMINI USIAMINI: Kwa vita humuwezi mjusi anayefahamika kama ‘nile monitor’

NA MWORIA MUCHINA 'NILE monitor' ni mjusi mkubwa ambaye ana meno makali na kucha ndefu. Mjusi huyu huwinda chochote akipatacho na...

AMINI USIAMINI: Fahamu kumhusu mjusi kafiri anayeitwa satanic leaf-tailed gecko

NA MWORIA MUCHINA MJUSI kafiri anayeitwa satanic leaf-tailed gecko, anafanana na jani lililokauka. Hii humsaidia kujificha ili...

AMINI USIAMINI: Tandu wanaofahamika kama Giant centipedes

NA MWORIA MUCHINA TANDU wanaofahamika kama Giant centipedes (Scolopendra gigantea), hutambaa kwenye sakafu za misitu wakitafuta mawindo...

AMINI USIAMINI: Ndege anayefahamika kama Pelegrine falcon ndiye anayepaa kwa kasi zaidi duniani

NA MWORIA MUCHINA PELEGRINE falcon (Falco peregrinus) ndiye ndege anayepaa kwa kasi zaidi duniani. Huvamia mawindo yake kutoka juu...

Utajuaje familia yenye mshikamano na ushirikiano mzuri?

NA MARGARET MAINA [email protected] JAPO changamoto za maisha zinaweza kufanya watu kukosa utulivu, kwa baadhi ya wanafamilia,...

JIPANGE KABLA UPANGWE: Ratiba ya asubuhi ndio silaha yako ya siri

NA MARGARET MAINA [email protected] NI muhimu uwe na ratiba ya asubuhi ambayo itakuongoza wewe na familia yako kuwa na mpangilio...

Jinsi ya kudumisha usafi wa ndani ya chumba chako cha kulala

NA MARGARET MAINA [email protected] UNAHITAJI chumba cha kulala ambacho ni nadhifu ili uwe na utulivu unapopumzika ama peke yako...