Vipi shangazi? Nimetumia pesa zangu nyingi kugharimia mahitaji ya mwanamke mpenzi wangu kwa sababu alikuwa ameniahidi atakuwa mke wangu....
Kwako shangazi. Nina miaka 27. Ninatafuta mwanamke mwaminifu kwa uhusiano wa kimapenzi kisha nimuoe baadaye tuishi pamoja. Je, nitaweza...
Shangazi; Hujambo. Nilianza kuishi na mpenzi wangu miaka miwili iliyopita baada ya kunipa mimba. Alikuwa ameniahidi tutaenda kwa wazazi...
Shangazi; Nimekuwa nikishangaa ni kwa nini mke wangu hapati mimba miaka miwili baada ya kumuoa. Kumbe anatumia dawa za kuzuia mimba!...
Shangazi, Mume wangu wa miaka 10 na nampenda sana. Tatizo ni kwamba katika muda huu wote amekuwa akikojoa kitandani tangu tuoane. Nimekuwa...
Shangazi, Mpenzi wangu ndiye mtoto wa pekee na mama yake hajaolewa. Juzi nilishangaa mama yake aliponipigia simu akisema ananipenda na...
Hujambo Shangazi, Nina mwanamume mpenzi wangu ambaye nampenda kwa dhati. Tatizo lake ni kuwa kila wakati tukikutana ni lazima adai asali....
Mpenzi wangu aliondoka wiki mbili zilizopita akaniambia anaenda kutembelea wazazi wake mashambani. Aliniomba pesa za nauli na bado mpaka...
SHANGAZI, Nimekuwa nikishangaa kwa nini mpenzi wangu hawezi kukubali tukutane usiku. Ameungama kuwa yeye ni kahaba na huwa kazini....
After a family tragedy, three generations of the Deetz...
Soulmates Eric and Shelly are brutally murdered when the...
When tech billionaire Slater King meets cocktail waitress...