• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 6:25 PM

TAHARIRI: Serikali yafaa imalize wizi wa chakula cha msaada

NA MHARIRI TAKWIMU zinazojitokeza kuhusu hali ya kiangazi nchini ni za kusikitisha. Ziwa Turkwell katika Kaunti ya Turkana ni la punde...

WANDERI KAMAU: China Square: Tunahatarisha sifa ya Kenya kuhusu uwekezaji wa kigeni

NA WANDERI KAMAU LICHA ya matatizo kadhaa yaliyokumba utawala wake, mojawapo ya mafanikio aliyopata Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ni kubuni...

CECIL ODONGO: Ni unafiki serikali kutaka Raila awekewe vikwazo

NA CECIL ODONGO BAADA ya uchaguzi mkuu wa 2007, William Ruto pamoja na Uhuru Kenyatta walishiriki msururu wa mikutano ya maombi kuhusu...

TAHARIRI: Serikali itilie mkazo elimu ya wanafunzi wa Gredi ya 7

NA MHARIRI RIPOTI zimeibuka kuwa wanafunzi wa Gredi ya 7, ambao ndio waasisi wa mfumo mpya wa elimu (CBC), hawafundishwi ipasavyo kutokana...

CHARLES WASONGA: Ruto, Gachagua wainue raia badala ya kujibizana na Raila

Na CHARLES WASONGA SIDHANI kuwa gharama ya maisha itashuka hivi karibuni alivyobashiri juzi Rais William Ruto hata wakulima wakipanda na...

TAHARIRI: Magavana waipe miradi ya maendeleo umuhimu

NA MHARIRI MAGAVANA wapya 28 walipochaguliwa mwaka 2022, kulikuwa na matumaini tele kwamba wangeleta mabadiliko ambayo wapigakura wamekuwa...

WANDERI KAMAU: Gachagua asiwe na kinyongo, wanahabari si maadui wa jamii

NA WANDERI KAMAU UANAHABARI ni taaluma ambayo ina historia ndefu. Ni taaluma iliyoanzia katika mwaka 59BCE (Kabla ya Kuzaliwa Masihi Yesu...

WANDERI KAMAU: Serikali ya Ruto ikome kutumia idara za usalama kuwanyamazisha wapinzani

NA WANDERI KAMAU WAKATI wa harakati wa kupigania Ukombozi wa Pili katika miaka ya 1990, mawakili ni kati ya watu waliohusika katika...

DOUGLAS MUTUA: Maadili yataamua ufanisi au kuporomoka kwa Nigeria

NA DOUGLAS MUTUA TAIFA la Nigeria linapiga chafya leo, tahadhari usipate mafua! Hivi uchaguzi wa urais unaofanyika leo nchini humo...

TAHARIRI: SJAK iwe mfano bora kuongoza uchaguzi huru, wa uwazi na haki

NA MHARIRI MUUNGANO wa Wanahabari wa Michezo nchini (SJAK), umepanga kufanya uchaguzi wake Machi 4, 2023 ambapo maafisa wapya watateuliwa...

TAHARIRI: Ni aibu Ukraine kuipa Kenya msaada wa mlo

NA MHARIRI NI jambo la fedheha kuwa Ukraine, nchi iliyozama katika vita vikali kwa mwaka mmoja uliopita, ni miongoni mwa nchi zinazoipa...

JURGEN NAMBEKA: Kaunti zisiwafedheheshe wazazi wanaosaka basari

NA JURGEN NAMBEKA WAZAZI katika kanda ya Pwani wamelalamikia jinsi shughuli ya kutolewa kwa basari za kufadhili masomo ya wanawao...